Search results

  1. P

    Mbowe atoa mwaliko wa mkesha siku ya kupiga kura

    Amani itakuwepo na mkesha utakuwepo, tatizo lenu nini magamba.?
  2. P

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Napenda sana ujasiriamali, najipanga kupata kianzio.
  3. P

    Mbunge Msigwa azidi kuingarisha CHADEMA-Picha

    Nimeamini kila lenye mwanzo lina mwisho wake na kama inawezekana mtu kubadili dini bac hata chama inawezekana kiac kikubwa, sasa imefika wakat tubadilike...!CHADEMA mwanzo mwisho waacheni CCM wajipe matumaini.
  4. P

    natamani mume wangu anywe pombe

    Hapa mtaani kwetu kuna jamaa ana sifa zote ulizotaja kwa hiyo anamsumbua sana mke wake, na mke wake hapendi hizo tabia. Sasa kama kungekuwa na uwezekano wa kubadilishana ingekuwa poa sana...
  5. P

    Mauzauza chumbani...!

    Namshauri akafanye maombi tu, hicho sio kitu cha kawaida.
  6. P

    Nassari arudisha fomu kwa kishindo, Arumeru

    Tupo pamoja makamanda.!
  7. P

    Kauli inayomgharimu Hadji Mponda dhidi ya Madaktari

    Aondoke tu hatakiwi yaani achape rapa..!
  8. P

    Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

    Kama kawaida ya mnyama kutafunatafuna so Kagera sugar wakae vizuri kwa kutafunwa...
  9. P

    "...mke wa mtu aliyeniota LIVE.."

    Nadhani kubadilisha laini siyo suluhisho la kutatua tatizo, kinachotakiwa nikumueleza ukweli...
  10. P

    Daktari wa Meno

    Huyo anatoboa bati au..!kwel hii ni balaa
  11. P

    Natafuta dawa ya udomo zege!

    Kama vp mwana vaa tinted tu kisha unakuwa kauzu zaidi ya dagaa and then unatema sumu...!
  12. P

    Mgomo wa madaktari na kiburi cha watawala wetu, nani anaumia?

    Ndio tatizo la kuongozwa na viongoz waliokufa na kuoza mana anachosema pinda ni uvundo mtupu..! Yaani inahuzunisha sana kuona kiongoz... cjui niseme anaongea au anaropoka maneno kama hayo. Hi ni aibu sana...
  13. P

    Internet bureeee

    Ni pm bac mkubwa
  14. P

    Hivi mtu akichaguliwa kuwa waziri anatakiwa awe na elimu kuanzia level gani

    Uwe rafiki wa karibu wa mwenye nchi, uwe na degree ya ufisadi na uzoef wa kula rushwa nadhani kwa uongoz wa chama kinachotawala vgezo hivyo vinatosha kabisa..
  15. P

    Picha za CHADEMA ilivyoingia Tanga kwa kishindo

    CDM tupo pamoja..! 2015 mpango mzma..tumechoka na viongozi ambao akili zao zimeganda mpaka zipate joto ziyeyuke na hata zikiyeyuka hawajiamini walichofanya,wanachofanya na watakachofanya..! Twende kaz CHADEMA.. waache hao CCM wameoza wamebaki kunuka..
  16. P

    Baada ya kumaliza tu mapenzi ameanza kuliaaaaaa!

    Au anakuwa na hisia kali anapomaliza mchezo...
Back
Top Bottom