Search results

  1. R

    Mama Rwakatare kupiga makofi bungeni kuunga mkono ya msaliti auawe kunatufundisha nini?

    Mambo kama haya huwezi kukuta media zetu zinatangaza bila kujua kuwa hili lingeweza kuwasaidia wengi sana ambao wamekuwa wakidanganywa kwa kipindi kirefu na huyu mama
  2. R

    Mwendesha bodaboda: Mwakyembe tulikuwa nae mwanzo mwisho mpaka rafiki yangu anafariki

    Ukarimu kwenye picha unaonaje .? Source ya habari imeeleza jinsi tukio lilivyoenda, we unataka akulutee picha kama vile alikuwepo kwenye tukio kama mwandishi wa habari.!?
  3. R

    Mwendesha bodaboda: Mwakyembe tulikuwa nae mwanzo mwisho mpaka rafiki yangu anafariki

    Unataka kuona picha gani.? za marehemu, mwakyembe au msimuliaji.? Nyie watu mnatakaga picha huwa mnafikiriaga kwa kutumia nin
  4. R

    Kenya : Al Shabaab Attacks Kenya Base Used by Kenyan, U.S. Forces

    NAIROBI — Somalia's Islamist group al Shabaab on Sunday attacked a military base in Lamu county in Kenya that is used by both U.S. and Kenyan forces, a source and al Shabaab said. "They have attacked Manda airstrip in Lamu, which is just next to the military camp that hosts military personnel...
  5. R

    Tujuzane changamoto za Google Map Driving na namna ya kuzitatua

    Mkuu kuna sehem nimelalamika au nimesema nlikua najua napoelekea.? ..
  6. R

    Tujuzane changamoto za Google Map Driving na namna ya kuzitatua

    Hili limetukuta wengi, Aisee sitakaa nije kusahau. Nlifika sehem hakuna njia afu yenyewe inaonyesha kuna bonge ya barabara
  7. R

    Mshituko: Rais Magufuli, agoma kumsalimia kwa mkono Mkuu wa Mkoa wa Dar ndugu Paul Makonda

    Jamaa huwa hakwepishi, Hili lilishamtokea hata Prof mmoja, watu hawakushtukia tu .!
  8. R

    Serikali kuanza kuwatambua wateja wa ATCL kwa lengo la kuwapatia huduma za ziada

    Shikamoo akishaimgizwa = akishaingizwa anafaidoka = anafaidika uogtade = upgrade kuroka = kutoka kaqaida = kawaida kuopatiwa = kupatiwa Punguza ugoro bibi, Jumapili njema
  9. R

    Rais Magufuli aitaka Tanroads na Taasisi nyingine zilizopanga kwenye majengo binafsi kuhamia kwenye majengo ya Serikali

    Kwani Tanroads ilikuwa chini ya wizara gani kipindi inaanza kukodi hilo jengo .? Tuimbe wote, CCM ni ilele ....
  10. R

    Idea for jf

    Kwa njia hii watu wanao share same network ( WiFI ), utawanyima haki ..! Bythaway according to this privacy policy, JF hawalog IP address za watumiaji wa mtandao .! Kufanya hivyo wataenda kinyume na policy walizojiwekea wenyewe, ambazo zina mtazamio wa kumfanya mtumiaji kuwa anonymous JF -...
  11. R

    Mdogo wangu anasema wanaume wanamsumbua, kama kaka nimueleweshe vipi?

    Dah, kwa iyo sio sawa kuongea topics hizi na mdogo wako wa kike.? kama kaka..?
  12. R

    Mkakati ovu wa CCM wanaswa Singida, walimu watakaokataa kutumika kuiba kura kushushwa cheo , kuhamishwa au kutimuliwa

    Wana CCM mngekuwa kama huyu, mnasusa hivi aisee tungekuwa mbali sana #sitakitena narudi zangu chato.!
  13. R

    Wageni Mkutano wa SADC Wavutiwa na Maendeleo ya Tanzania

    Wacha kutudanganya, uyo sio mjumbe..!
Back
Top Bottom