Sidhan kama hilo ni sahii kila mtu anaomba maslahi yake. Yawe juu sidhan kama kuna shinikizo la wapinzani
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
mnahangaika nyie NYINYI M kama alivowaita Sugu...tatizo sio chama hapo...chama ni kizuri ila watendaji wake ni wabovu kuanzia mwenyekiti wa taifa msanii..mpaka mwenyekiti wa kata wa NYINYI M ni msanii.....badilikeni kwanza ndo muanze kushindana na CDM
mi naamini Tido ni mtu anaesimama kwenye ukweli na si mtu wa kuyumbishwa kama bendera inayofuata upepo,ukifuatilia kwa makini kwa nini Tido katoka TBC utagundua kuwa ni kusema ukweli,kusimama kwenye ukweli,hana mtu wa kumsumbua mi ninavoamini kama umeamua kufanya kazi basi fanya kazi kazi bila...
Tido muhando kuwa mkurugenzi mtendaji wa Mwananchi hapo ni kuikosoa serikali kuwa haikuwa sawa wakati inamfukuza TBC kisa yeye ni muwazi.....sasa hivi TBC vipindi upendeleo kibao hakuna ukweli kama alipokuwepo Tido Muhando.....ngoja waone mwananchi itakavo kuwa nzuri now, hakuna kuficha...
The boundaries and content of what is considered private differ among cultures and individuals, but share basic common themes. Privacy is sometimes related to anonymity, the wish to remain unnoticed or unidentified in the public realm. When something is private to a person, it usually means...
In Tanzania abortion is illegal, however the penal code only provides for attempting abortion under section 150 of the penal code provides for a crime on attempt to abortion, other countries eg. South Africa has declared abortion legal under certain circumstance especially if the pregnancy will...
Mka aliyetoa ushauri hapo juu yupo corect na namuunga mkono,custody ya mtoto hawez pewa baba endapo mtoto bado ni mdogo chini ya miaka 7, ni lazima apewe mama hapo
natafuta provision ya law kwa ajili ya kuomba extension ya time High Court kwa ajili ya kufanya Revision ya kesi iliyoamuliwa na District Court...maana ushapita mwaka mzima ambao ndo time limit ya kuomba revision according to MCA,,...
Tatizo rais wetu usanii mwingi,hayupo serious na kila analofanya,timua tu hao sasa hapo nae sioni kazi anayofanya kama anashindwa kumfukuza mtu ambae analega mgogoro katika sekta ya afya....be serious kikwete
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.