Search results

  1. O

    Nafazi za kazi tulawaka

    huyu jamaa ni mwizi hatari.,.hii namba naichukua naipeleka voda 2ifanyie uchunguzi nafkir hii ni mara ya tatu sasa huyu jamaa analeta michongo hii ya kutapeli wa2...hakuna kazi ya maana hasa ya mgod ambayo hr. Anaanika namba yake ki hasara kiasi hicho huyu jamaa ni tapeli hatari sasa hili suala...
  2. O

    breaking news-Nafasi za JKT zimetoka

    Sure zimetoka! Mlikuwa mnaulizia kila siku leo zimetoka mnaelekezwa mahal pa kupata info. Bado mnazingua.
  3. O

    Mh.Rais; Hivi sisi na Maximo nani kakuweka madarakani?

    Ki ukwel na shindwa kuelewa kabisa taifa linateketea baba hayupo tunamuomba arudi haraka pengine kesho kama zitto atafanikiwa kupata saini 70 kuna weza kusiwe na gvt sasa kama rais yupo brazil manake nn?
  4. O

    Wabunge kupiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu Pinda?

    Ki ukweli mfumo karibu wote wa ccm umeoza...tym ya wao kutupisha imefika mi naamini ktk wabunge 50 wa ccm basi nadhan ni wabunge wa 2 tu ambao wanaweza kuwa wasaf mi naomba niwaombe watz wenzangu hasa yale maeneo ambayo bado yamekumbatia mfumo huu mbov yabadilike basi hebu 2wajaribu na hawa...
  5. O

    Mawaziri wanaongoza kwa wizi serikalini - Deo Filikunjombe

    Hongera sana mbunge wa ludewa mh. Deo filikunjombe kwa ujasiri uliouonesha bungeni jioni ya leo hiyo ndio kazi tuliokutuma.
  6. O

    Kikao cha dharura cha CCM mchana huu

    ccm ishakua kama choo cha pale kituo cha polisi msimbazi cdhan kama mtu uliyetimamu unaweza kustahimili kukaa kwa muda mref.
  7. O

    Mbowe apigilia msumari

    huko brazil ndo hyo safar ya kuonana na maximo au kuna nyingine
  8. O

    Ccm imeshindwa kutuongoza.

    Ki ukweli ccm imeshindwa kutuongoza...ukitaka kuamin hilo kama mnafuatilia bunge vzr vikao vya jana na leo vinathibisha kauli hiyo...
  9. O

    Carina Inauzwa Nauli yake Kidogo tu

    duh! ujue sometimes mnajitakia tu watu ndo kwanza wanatafuta kazi pengine hata kula hawajala we unaleta stry za magar wapi na wap bana peleka panapo husika
  10. O

    Usifungue thread hii utani huu siyo

    pu....mbav usifungue umefungua unaona sasa umemkuta baba yako anavaa mbwa we muone mi jicho ka..! **** la kilema....
  11. O

    Jkt&jwtz

    Zubeda hii issue imetangazwa tangu feb. 16 we ndo unastuka leo na baadh ya sehem washapiga hadi intrview.
  12. O

    Nafasi za Kazi JWTZ

    zubeda jkt lin...? nna mdogo wangu hapa.
  13. O

    Jkt&jwtz

    Bro. Vp jkt uli ahid wa2 trh 15 april?..
  14. O

    Natafuta toyota vitz

    hebu nchek 0656 000057
  15. O

    Tar 16/april/2012 usaili wa ndani wa wanajeshi wenye diploma unaanza..........

    duh! La haullah la kwattah!!! ngoja wakusikie hao uliowaita wa***
  16. O

    Balali yuko HAI - He is not dead

    mnabisha nn? wa2 wanaenda state kila leo na wanarudi na story za kumuona balali...sema me sioni kama ni issue maana hata hao tunao waita mafisadi tunao kila cku mitaan na hatuna cha kuwafanya tukubaliane na hali halisi tu ndugu zangu maisha yaendelee.
  17. O

    To anyone,,,Application Letter

    Ushaur wa Montego uko poa ufanyie kazi..
  18. O

    Jkt&jwtz

    Mkiliman ndugu yangu uwe unafanya uchunguz kabla ya ku comment....
  19. O

    Jkt&jwtz

    Jwtz imetoa nafasi kwa wanamuziki..for more informations tembeleen kwa washaur wa migambo...
Back
Top Bottom