Naamini Mod anatenda haki kwa wana jf. nainajulikana wazi kuwa mtu akileta taarifa za uongo anastahizi zawadi ya ban. hivyo tunaomba wote waliaanzia habari ya mgombea wa CDM kuamia CCM apate ban.
kweli tunapo elekea karibuni tutafika. watu hawana hata chembe ya huruma. Mungu naomba uwajeuze wao waliompiga huyo dada pamoja na baba yake wawe mawe ya kusagia. wote tuseme ameni
je maandamano yamefika sehemu gani na mimi ni kajoin? mimi nipo hapa karibu ns Greenland resort hotel. nayasubiri kwa hamu. leo na hamu ya kubigwa bomu la machozi na maji yanayowasha, nijikumbushe miaka ile nikiwa UDSM. hasa tarehe 19/4/2004 pale mbele kidogo ya geti dogo la chuo cha aridhi...
soma hii useme nini msanii Mboye au serikali yetu? au nawewe nimiongoni wawale machiz---i wanao vaachupi kichwani kisha wanajisifia . tafakari
Majeruhi mwingine, Abdallah Hilali (39), aliyelazwa katika Hospitali ya Arusha Lutheran Center, amedai kuwa majeraha aliyopata miguuni yametokana na...
Mbona haya huku yasema? kama wewe siyo mnafki na mchakubimbi tena mbeyaaa sana tu. %^)&_&_- yako.
Majeruhi mwingine, Abdallah Hilali (39), aliyelazwa katika Hospitali ya Arusha Lutheran Center, amedai kuwa majeraha aliyopata miguuni yametokana na kupigwa risasi na polisi na kudondokewa na...
natamani ukubali kuwa ccm inazidi kupoteza umaarufu miongoni mwa wa tz. kwahiyo msijiite baba wa democrasia. kwani naamini unajua ccm inasaidiwa na watu wangapi. hivyo siyo kitu cha kujizunia kabisa. naukumbuke daftari la kudumu la wa piga kura halijawa updated tokea 2010.
Asante kwa taarifa. naomba ufafanuzi zaidi kwenye hizo kata 15 mwanzoni zilikuwa zinaongozwa na chama gani? pia hizo 5 za CDM mwanzoni zilikuwa chama gani baada ya hapo ndiyo tutaweza kusema chochote.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.