Habari wadau!
Nilisikia kuwa Mh. Waziri wa Ujenzi leo atafanya kikao na Wanahabari pale Idara ya habari maelezo kuanzia saa 3 asubuhi, please naombeni updates kwa mlio karibu
Habari wana JF. Nimekuwa nikifuatilia utendaji wa mawaziri katika serikali ya Mh. Jakaya Mrisho Kikwete, ni ukweli usiopingika kwamba waziri mwenye dhamana ya uchukuzi Mh. Dk Harison Mwakyembe ni miongoni mwa watendaji bora kabisa wenye uwezo wa kuchukua maamuzi pale inapohitajika. Ni ukweli...
Ni kweli Dk, Slaa ametajwa sana katika mkutano wa Mh. Kagasheki. Nimegundua kwamba Dk Slaa ni tishio na anarekebisha uozo. Ushauri wangu kwa Wanakagera, wasawazishe tofauti hizi kati ya Mbunge na Meya kwani hazileti tija yeyote kwa maendeleo ya Bukoba na wananchi wake.
Kwa mwenye taarifa eti ni...
Habari wana JF.
Nimetafakari kwa kina sana juu ya huu umasikini wetu unaotukabili Watanzania kama taifa na kama Mtanzania mmoja mmoja. Umasikini huu unaotukabili ni wa aina 2, umasikini wa kwanza ni ule wa kujitakia wenyewe na mwingine ni ule wa kupandikizwa.
Umasikini wa kujitakia ni ule...
Habari wana JF.
Kwanza nianze kwa kukupongeza Mh. Waziri kwa hatua ambayo umeanza kuichukua, yaani hatua ya kuongoza wizara kwa kutoka Ofisini na kutizama matatizo ya wananchi yanayowakabiri yaliyo chini ya Wizara yako, kwa kweli hiyo ni hatua nzuri kabisa.
Kwanza kabisa ulianzia pale TRL...
Habari wana JF, nafuatilia kwa makini kipindi hiki cha usajili wa wachezaji wa timu zetu kuelekea msimu mwingine wa ligi kuu ya Tanzania kwa timu zetu hizi za Bongo. Ukifuatilia kwa kina utaona vyombo vingi vya habari vinatupia macho klabu kubwa za Yanga na Simba na sasa kwa kiasi fulani klabu...
Two things to be done;
1. Picha hizi ni za lini?
2. Ni lini pia alipitishwa airport kupelekwa kwa matibabu.
Tukiyajibu haya nadhani tutasonga, kuumwa ni suala la dharula, unaweza kuwa mzima sasa na baadae ukapatwa na ugonjwa.
Kaka William, ni dhahiri kwamba unaweza ukawa na mtizamo mzuri sana dhidi ya taifa lako. Sina hakika ndani ya CCM kama watakupitisha kwa namna ambayo kuna makundi yanayohasimiana kisiasa ndani ya CCM. Sasa jina lako tu yaani Malechela, linaweza likakuweka katika kundi ambalo pengine nguvu yake...
We need people like Kagenzi! Big up, mzee Mungu akupe maisha marefu kwa kuepuka vurugu ambazo zingeweza kutokea kama haki na sauti ya Wana Arumeru ingepokwa.
Jamani asubuhi nimekuta katika TBC Mh. Mbunge mteule Joshua Nasari akizungumza mara baada ya matokeo kutangazwa rasmi. Wadau kwa anayeweza kutukumbusha alisema nini? Please post tuyaone.
Jamani asubuhi nimekuta katika TBC Mh. Mbunge mteule Joshua Nasari akizungumza mara baada ya matokeo kutangazwa rasmi. Wadau kwa anayeweza kutukumbusha alisema nini? Please post tuyaone.
Mh. Lusinde kwa kweli hajajidhalilisha yeye mwenyewe tu. Amekidhalilisha chama cha mapinduzi, amemdhalilisha mwenyekiti wa chama cha mapinduzi Mh. Dk Jakaya M. Kikwete, ama kwa hakika mtu huyu hafai kabisa. Jamani naunga mkono hoja sheria ichukue mkondo wake, ama la! hata chama cha mapinduzi...
Kwa hali ilivyo sasa katika Tanzania hii inayofunguka hata wakikupeleka wewe ukawe Mgr wa kampeni hautashindwa matatizo ya wana wa nchi hii yako mengi kaka, ni kushambulia tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.