Search results

  1. Michael Mwanjasi

    Bank ya Posta mna nini, mbona hamuiti watu kwenye interview?

    Mimi niitwa ilikuwa ni sales executive kama mwezi ulopita may be ni kutokana na njia ulotumia kuomba koz lazima utumie electronic email na siyo barua za posta
  2. Michael Mwanjasi

    A serious gentleman, understanding person click here!!

    All the best....pray harder.
  3. Michael Mwanjasi

    Kumbe hawa matajiri wa kitanzania ndio maana hawana vitabu vya historia zao!

    :A S-fire1:matajiri wetu tz ni kama moto kwa wananchi wenzao kwanza ni wagumu kujitoa ktk maisha wa masikini wa kila siku yote ni sababu tuh mali walizo nazo si HALALI
  4. Michael Mwanjasi

    Ushauri wenu: Nataka kununua laptop

    Mh 6L kupata hp brand new mmh sijui aisee may be kwa specification za intel pentium na ram ya kawaida tuh but kama ni core i3,5 or 7 ni kuanzia laki 7 hivi
  5. Michael Mwanjasi

    Natafuta mchumba/mke ila tuishi kujaribiana kwanza

    Shake well before use.
  6. Michael Mwanjasi

    Swali la Kimantiki: CCM wamuue Alphonce Mawazo kwa sababu zipi hasa?

    Amani ya Bwana iwe nanyi wadau, Kwanza kabisa napenda kuanza kutoa pole kwa wale wote walioguswa na kifo na ndugu Alphonce Mawazo. Kifo chochote sio jambo la kawaida kwa hiyo hata iweje lazima pole itolewe hasa kwa wale walioguswa kwa dhati na kifo hiki. Nikiwa natafakari kifo hiki kumekuwa na...
  7. Michael Mwanjasi

    Ni rais wa taifa kubwa sana duniani huyu!!

    Hizi ni level kubwa za viongozi waliopevuka kifikra putin ni jasusi commando mzuri hata bord guard hataki
  8. Michael Mwanjasi

    Muhimbili University Of Health And Allied Sciences(MUHAS)

    mbona mimi katika profile yangu selected by tcu YES ila selected by an institution/university ;waiting for approval hii inamaanisha nini na niliomba bachelor in medical laboratory science in clinical chemistry
  9. Michael Mwanjasi

    Wale wa NACTE

    Uhakika john coz umefanya selection nzur
  10. Michael Mwanjasi

    Wale wa NACTE

    Pocbo ya chuo ipo
  11. Michael Mwanjasi

    Wale wa NACTE

    Maanake umefanikiwa kufanya on lyn admision bado selectn za chuo
  12. Michael Mwanjasi

    Wale wa NACTE

    Maneno yangu yangekua sheria degreee(bachelor)wote wangetumia tcu hsfu certfcate an dipl.wangetumia nacte ili kurahsisha kazi...
  13. Michael Mwanjasi

    Uhuni wa NEC - Nini Kifanyike Wanavyuo waweze kupiga kura October 25?

    Hapo ni kubadili mfumo mzma wa serkali ndio solution kubwa kwa wanavyuo wa baadae.....lakini nimesikia kuna form za kujaza ili kusaidia wale waliopo mbali na sehemu walipo andksha.....mmmmh huuuu mfumo mi nkajua utakua mo advanced....
  14. Michael Mwanjasi

    Wale wa NACTE

    Ni kujipa majukumu kibaaaooo tuh kazi hii angeachiwa tcu tuh sasa nacte mala tcu yani nchi yangu tanzania ndio raha sana watu wanapeana ulaji tuh
  15. Michael Mwanjasi

    Lowassa avaa pete ya Freemason, hii sio ishara njema kwa Tanzania

    Ktu roho inapenda no mo commentx.....he z ze man of maneno machache but alot of dids.....hajawai msema mtu kwa baya jukwaan ...mti wenye matunda........
  16. Michael Mwanjasi

    Lowassa avaa pete ya Freemason, hii sio ishara njema kwa Tanzania

    Tuseme ukwel cmpingi mpnga magufuli ni mtendaj mzur tuuu lakini ndugu zangu chama alichopo cyoooo ndo maana namtaka lowasa...huu ndo msimamo wang cjamsemea mtu.....masonic au cyo masonic nmemkubali.
  17. Michael Mwanjasi

    Lowassa avaa pete ya Freemason, hii sio ishara njema kwa Tanzania

    I need elimu..elimu..elimu datz y cmpng..coz i need to change my slippery slope and low knowledge.
  18. Michael Mwanjasi

    Lowassa avaa pete ya Freemason, hii sio ishara njema kwa Tanzania

    U remain wth ua stupidity kwasababab napenda basng on my own knowledge and wat i blv mr.chin...baki wth ua static mynd...u wl never change any1in here.
Back
Top Bottom