Search results

  1. stephot

    Mlio oa au kudate na wanawake wa kimachame njoeni hapa tufarijiane ndugu zangu

    Ukishajua umelikoroga usiwe unarudi nyumbani,omba msamaha ukiwa mbali,kikishaeleweka rudi lkn kwa machale,ukisikia paa..kimbia
  2. stephot

    Vifo vya marafiki zangu wa karibu vimeniathiri kisaikolojia naogopa sana Ukimwi mpaka napitiliza. Kila nikifanya mapenzi naona zamu yangu imekuja

    Pole sana,endelea kuogopa hivyohivyo,kwakuwa unaendelea kuishi hiyo ni neema Mungu amaeachilia kwako, hivyo inakupasa kumcha yeye usiku na mchana maana shetani hata kuacha salama,usipoangalia unaweza kujikuta na wewe unawafuata kwa mtindo uleule...
  3. stephot

    Afungwa jela kwa kosa la kumlawiti mkewe kama adhabu anapokosea

    Kwahiyo alikuwa anamlewesha au anamfunga kamba mpk akawa anashindwa kujitetea,kwa mtoto sawa lkn kwa mtu mzima bado hapo kuna mswali mengi...
  4. stephot

    Mbeya: Mume amuua mkewe kwa kumchinja na kutenganisha kichwa na kiwiliwili

    Uchangiaji huu ndio uchangiaji wa wengi,lkn watu wanachoshindwa kuelewa ni kuwa ukiwa na mwenzi wako na hamuelewani,swala la kuua sio kitu cha kupanga,ni tukio la ghafla ambapo mtu anapandisha jazba,na hasira ndio inayomsukuma aue,ndio maana baada ya yale mauaji mtu huanza kujuta na hata...
  5. stephot

    Machi 11, 2020 WHO ilitangaza COVID-19 kuwa janga la Kidunia, unakumbuka nini kipindi katika janga hilo?

    Uko sahihi,watu wengi ambao niliwafahamu walikuwa wanaondoka kila kukicha,bahati mbaya mtu wangu wa karibu naye alipata,ilikuwa ni kipindi kigumu sana,hofu ilitawala,matumaini ya kuiona kesho yalikuwa yametoweka,ni neema ya Mungu tu tulisalimika...
  6. stephot

    Vyakula na vinywaji vinavyosababisha Kansa

    Hapo namba 3 nimewazia Chips yai teketeke,nikasema ngoja nijitafakari kwanza...
  7. stephot

    Umri upi ni sahihi kustaafu kazi?

    88..kama wakina Mugabe mpaka unashindwa kutembea..:p
  8. stephot

    Hizi ndoa mbona ngumu sana au ni kwangu tu?

    Kabla ya kuoa hukupewa ABC mkuu,au ndio wale mnaosema utambadilisha akishakuwa wa kwako...
  9. stephot

    Unawezaje kuishi na mwanamke anayejamba jamba ovyo?

    Kwahiyo ulivyomuona mwenyewe na ma makeup yake,nywele za bandia, miperfume ya gharama plus mipoz ukajua hajambi,ukiona hivyo kashakuzoea,kaona kisa cha kijifia wacha umjue tu na yeye ni binadamu kama wengine...
  10. stephot

    Mchumba hasomeshwi, muhanga SutiBega

    Tayari mwingine huyu...
  11. stephot

    Tuwape Tanesco maua yako haraka

    Usipanic mkuu,ule wenyewe inawezekana bado haujakufikia,uko njiani unakuja...
  12. stephot

    Mambo 10 ya kisayansi yanayothibitisha kuwa VVU sio chanzo UKIMWI

    Hao wataalamu wetu wamefikia wapi maana hii ni 2024,tusidanganyane jamani...
  13. stephot

    Ndoa inahitaji huruma

    Asante kwa kutukumbusha...
  14. stephot

    Mwanangu wa kiume miaka 4 lakini haongei ni kupiga makelele tu

    Sema na Mungu kuhusu mtoto wako atakujibu tu,na kama unaishi uswahilini kuna mambo mengi sana ya hovyo inawezekana ni kweli wamemchezea,mtoto ni kitu very special kwa binadamu,pata ushauri wa kitabibu lakini katika kila jambo mshirikishe Mungu.Ukishaamua kuzaa maisha mengine ya hovyo hovyo...
  15. stephot

    Haya ndiyo malambo makubwa zaidi ya kuzalisha umeme katika Afrika

    Hili bwawa la Nyerere ni bwawa la maono,nchi ilifikia mahali ni lazima iwe na bwawa kama lile,kinyume cha hapo hali ingekuwa mbaya sana,hata hivyo hatuko pabaya 2500 MW ni nyingi sana...
  16. stephot

    Nimefika Tabora, nawaambia wanipeleke mjini wanasema ndio hapa tulipo!

    Karibu Tabora Isevya huku,raha tupu...
Back
Top Bottom