Search results

  1. M

    Utata wa kifo cha Mwalimu Julius K. Nyerere: Siri zaidi zafichuka

    'je viongozi wa zamani walio funguliwa mashtaka katika mahakama zinazousiana na ualifu wa kivita na mauaji na kuwa hukumu hao viongoz wanapata faida gani? Ndugu kumbuka damu iliyo mwagika aridhin pasipo haki hulia na kumfata muuaji, tafuta habari ya kaini na abeli ktk kitabu cha dini kinaitwa...
  2. M

    Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

    Mbona matatizo yetu na kero zetu sio za kuulizia! Kila kona imefurika kero na matatizo
  3. M

    Kilichofanya TSH istabilize Against USD

    mi'naona kama hamna kilicho wahi pungua bei hapa tz toka kipande
  4. M

    Upandaji wa gharama za maisha

    nimekubali mawazo yako, inaonesha unauchaji wakutosha, ila naomba niongeze jambo hapa tz hakuna uwiano wa mishahara k2 ambacho kinajenga matabaka kwa kasi kubwa, hapa nachosema mishahara yetu haitoshi kukidhi maitaji yetu muhumu, na maitaji muhimu ya kijamii lazma yawe ktk mafungu haya, basic...
  5. M

    Mgomo wa madaktari: Huu ni ugaidi

    jiulize ni wangapi wanakufa na kupata maradhi mapya kwa kuwepo huduma mbovu?
  6. M

    Shs 500 kuwa sarafu

    Hii ni ishara gan ktk uchumi wetu?
  7. M

    Je, ITV ni Huru ama inatumiwa na wanasiasa?

    Everything is undercontrol n Everthng is corrupted even u. 2015 ipo mbali sana mtasahau yote na ku2pa hii nchi tena.
  8. M

    Airtel Tanzania yapandisha gharama za internet!

    Unajua ndio maana nilisema huu mkongo wa taifa utapunguza garama nyingi c mnaona wenyewe!, lakini hata bibi na babu zenu kule kijijin nimewabustia bei za vibiriti kutoka shs 50 hadi 100@1, mnaonaje! TUMEJARIBU, 2MEWEZA NA 2NASONGA MBELE. Mna2zodoa sana humu mitandaon, na magazet nitapandisha...
  9. M

    Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano ni Usanii au Ufisadi?

    Bongo ni kutapeliana pande zote, huo mkongo umesemwa toka kitambo lkn hadi leo ha2jui hata ulipo!!!
  10. M

    Mlango na teke humu jf

    Mwanatz mbabe nipo sawa nanyi jf
  11. M

    Tutachati baadae MPENZI wangu, niko na hili kubwa jinga...

    Yai halifanyiwi repea, hapo ni kukusanya chako nakusepa
Back
Top Bottom