Search results

  1. M

    Shy-Rose aanza kuwatembelea mabalozi wa EAC Tanzania!!

    Japo mimi ni mgeni humu jamvini, naomba tu niseme toka moyoni kuwa nimepata shaka juu ya upeo wa ndugu William Malecela. Mwenzio ana-argue kwa hoja, lakini wewe kila ukijibu unaibuka na "chuki binafsi". What's chuki binafsi? Ndo hayahaya watu wana-argue kwa hoja, mtu anasema "udini". I think we...
  2. M

    sheria ya mahakama ya mahakimu

    Jaribu pia hapa http://www.lrct.go.tz/acts
  3. M

    WaTZ 80,000 kufikishwa mahakamani

    Mimi nadhani serikali inapaswa kuilea bodi ya mikopo kwa kiasi kikubwa kwanza kabla haijaweza kusimama yenyewe. Ninachoona hapa ni kwamba huenda imefika sehemu ikaachiwa mzigo kama ilivyo kwa TEMESA na vivuko vya Kigamboni n.k. Wanabaki kutapatapa sasa wapate wapi hela. Kwa ufupi, la...
Back
Top Bottom