Chukua asplin 0.5, Diclofenac 0.5, ampiclo 0.5 tafuna vyote kwa pamoja usimeze ila bumbika mdomoni kwa dakika 5 ndio uteme, Kisha piga mswaki kwa kutumia dawa ya Colgate nyeupe na usioshe mdomo mpaka ipite nusu saa.
Fanya zoezi hilo kutwa mara tatu, kwa siku 7. Kama jino halitopona kabisa nenda...
Wazo jema, mi nilijifunza kilimo cha azola na ufugaji kuku, mpaka sasa nina bwawa dogo la Azola na kuku 12, mmoja ametotoa vifaranga 6 na 2 wamelalia, 5 wanataga. Naimani baada ya mwezi mmoja ntakuwa nimefikisha vifaranga 90.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii nchi raia tunaumia wakati wengine wananeemeka kutokana na jasho la walalahoi, wakati huo huo wanatuaminisha wanatusaidia
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.