Search results

  1. B

    BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

    Hakuna kitu kimoja kinachoitwa waislamu,labda kama wanataka kujua idadi ya 1. madhehebu ya shia a)hapa kuna karibu madhehebu madogo madogo zaidi ya kumi 2. Suni 3. Ismailia 4. Sufi 5 Salafi. 6. kurdishi 6. n.k sasa wasitudanganye wanataka kujua kuna waislamu wangapi, hakuna kitu kimoja...
  2. B

    Wazanzibari wataka ajira kwa Watanganyika huko Visiwani ikomeshwe; wagonga mwamba!

    hawa wazenji waachiwe nchi yao kama wanaona dili,kwa jinsi kasi ya mawasiliano inavyokwenda, siku hizi badala ya kusema unaishi Tanzania, tutakuwa tunasema naishi Duniani,unatakiwa uwe fit kukabiliana na yeyote kutoka nchi yeyote,tuache uwoga,tusome na kujielimisha kwa bidii zote.
  3. B

    Hotuba ya MB-Nassari (CHADEMA) baada ya kutangazwa imeliza wengi

    Big up sana kamanda, kawafanyie kazi wananchi maskini wa arumeru mashariki, mungu yupo pamoja nawe
  4. B

    CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    utadhani utani, lakini hili ni piga kubwa sana, kwa wana sisiem
  5. B

    MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

    jAMANI SISI WENGINE TUPO NJE YA NCHI TUNAFURAHI SANA KUSIKIA HAYO MATOKEO, mWENYEKITI ALIKUWA SAHIHI KUSEM TULINDE MATOKEO KWA NGUVU ZOTE, HONGERA CDM, NA WADAU KWA KUTUHABARISHA
  6. B

    Uzinduzi wa kampeni za uchaguzi Arumeru (CHADEMA)

    tunawashukuru sana kwa update tunayopata inatusaidia sana kwa sis tulio nje ya tz,ambao tuna i feel sana cdm,big up sana comreds
Back
Top Bottom