Search results

  1. I

    Tanesco na ewura wandaa congamano kiingilio 2ooooo du!

    Jamani juzi nilisema huu mtandao sasa unakusanya na kutumia wale wanofikiria kutumia masaburi, kwa Uzi huu imedhihirishwa unwell huu. Ewura hawana kitu kama hiyo na hata Tanesco hawajapeleka barua ewura maombi ya kitu Kama hicho. Kwa lifupi huu ni upumbavu mtupu nothing!
  2. I

    Ufisadi tena: EWURA walipandisha bei ya mafuta kufidia chaguzi za CCM!

    Hizi ni dalili kuwa aliyetuma huu uzi ni mhuni, hana shule ya kuchanganua mambo na mambo mengi kadha wa kadha. Kama EWURA inakula deal na wauza mafuta wasingekuwa wanagoma hadi kuwapeleka EWURA mahakamani na kushindwa kesi ya kutaka EWURA irudishe bei za mwaka 2008. Bei ya mafuta Tanzania...
  3. I

    Ufisadi tena: EWURA walipandisha bei ya mafuta kufidia chaguzi za CCM!

    Tujadili hoja kwa uelewa kama mtandao huu ulivyokuwa unsheshimika huko nyuma. Hivi inaingia akilini watu hao hao waishitaki ewura kwa kupunguza bei ( soma magazeti ya jumatatu ) halafu wakae meza moja kuisaidia CCM? Tusitumie masaburi kufikiri kama aliyeketa Uzi huu. Bei ewura inatangaza kila...
  4. I

    Ufisadi tena: EWURA walipandisha bei ya mafuta kufidia chaguzi za CCM!

    Tujadili hoja kwa uelewa kama mtandao huu ulivyokuwa unsheshimika huko nyuma. Hivi inaingia akilini watu hao hao waishitaki ewura kwa kupunguza bei ( soma magazeti ya jumatatu ) halafu wakae meza moja kuisaidia CCM? Tusitumie masaburi kufikiri kama aliyeketa Uzi huu. Bei ewura inatangaza kila...
  5. I

    Ufisadi tena: EWURA walipandisha bei ya mafuta kufidia chaguzi za CCM!

    Mtandao huu umekuwa wa kipumbavu kama unaruhusu watu wanaofikiria kutumia masaburi waweke Uzi wa kutukana watu wanaosaidia nchi. Hizi bei hutolewa kila Jumatano ya kwanza ya mwezi. Mtu HUMU hata hajui anadai inatolewa kila wiki mbili. Mbili mchango ya CCM kama inatolewa kama Alivyodai...
  6. I

    Prof. Muhongo tuondolee EWURA, ni zigo zito kwa Tz

    HUMU Ndani mnaonekana na mnajitangaza kuwa mnachangia kwa hoja mbona naona vululuvulu hakuna hata hoja watu utafikiri walevi wa gongo?
  7. I

    Prof. Muhongo tuondolee EWURA, ni zigo zito kwa Tz

    Ewura haijawahi kuchangia wizara kupitisha bajeti masons report ya Kamati ya Bunge ipo wazi kabisa. Tukubaliane kuwa kunachangamoto kwenye huduma hizi. Kuhusu Tanesco, unwell wa gharama utachulikana mwezi huu wa nane pale aliyepewa kazi ya kuchanganua gharama halisi ya kuzalisha umeme atakapotoa...
  8. I

    Prof. Muhongo tuondolee EWURA, ni zigo zito kwa Tz

    Jamani mchangiaji wa kwanza ana hazira za bure. Kuwepo kwa ewura kumewaaidia sana kupunguza gharama za huduma! Zunguka central and East Africa halafu sema nani bei yao ya mafuta ni ndogo zaidi ya Tz. Hata umeme TZ ni cheap kilimo nchi zingine afrika Mashariki. Juu ya maji Ubora tunapima muda...
  9. I

    Watanzania tuungane kupinga ajira za undugu TRA, BOT, TBC, EWURA

    WATANZANIA tuache kulalama, moja uwe na shule ya kweli katika tasisi hizi especially BoT na EWURA kwani vigezo vya kuingia katika post nyingi 90% lazima uwe na masters, pale EWURA mchemsha chai ni Form Six ambaye kwa sasa anasomea degree ya Sheria, kuna undugu hapo? Matatizo yetu tumekuwa...
  10. I

    Gari lako hatarini: uchakachuaji mpya wa mafuta umeingia

    Ndugu yetu kama hujafanya utafiti afali usiseme kwani, mfumo huh ulianzishwa NA ewura how comes Auhujumu? Pia issue ya kuchakachua Huko nyuma hamkusikia kwa kuwa hii term was introduced by EWURA amabye alia za masks 2006 NA ndoo maana Huko nyuma hukuwa unasikia
  11. I

    LIVE: Simba V/S Setif

    SIMBA 1: WAALGERIA 3 Samba Yasonga mbele
  12. I

    Tanzania awards $500 mln oil supply deal to Swiss firm Augusta; GVT hope will lower prices...

    MANUFAA YALIYOPATIKANA KWA KUANZISHA MFUMO WA UAGIZAJI MAFUTA KWA PAMOJA Manufaa ambayo yameanza kupatikana kutokana na mfumo ambayoyamethibitika katika kipindi cha miezi miwili ya uagizaji mafuta wa pamoja na: 1. Kupunguakwa Msongamano wa Meli Bandarini Siku za ucheleweshaji wameli...
  13. I

    Tanzania awards $500 mln oil supply deal to Swiss firm Augusta; GVT hope will lower prices...

    Ndugu yangu, unapotoa data huna haja ya kwenda CIA sasa hebu tukupe uone tunatumia lita ngapi kwa siku hapa nchini excluding transit fuel. Dieseli lita milioni tatu (3,000,000), Petroli lita laki nane na sabini na tano (875,000), Mafuta ya Taa lita laki sita na nusu (650,000). Inaonekana unajua...
  14. I

    Tanzania awards $500 mln oil supply deal to Swiss firm Augusta; GVT hope will lower prices...

    JAMANI, na mimi nineona vyema kuwaelewesha wenzangu juu ya hii. Mosi historila ya Mfumo wa Uingizaji wa Mafuta kwa Pamoja (Bulk Oil Procurement) unatokea kwenye Sheria ya Petroli ya Mwaka 2008, Kifungu cha 33 (1) na (2), inasema hakuna mtu yeyote anayeweza kuingiza mafuta hapa nchini ispokuwa ...
  15. I

    Hebu tukumbushie tuliozaliwa miaka ya sabini na....

    Nakumbuka buluga! Ule mchele Kama ngano kutoka USA pamoja na maziwa ya unga ya njano kabisa zaidi ya nido hii ni kwa waliokulia vijijini
  16. I

    Post za Ewura

    Bado hawaitwa kwenye enterview
  17. I

    Mafuta hayakamatiki zanzibar..

    Ewura si ya muungano ni bara pekee
  18. I

    Watangazaji Radio One wahamia Clouds FM!

    Hamisi yakuza itv from Star Tv
Back
Top Bottom