Nimepangiwa K'S Royal college of medicine kipo mbeya. Kwamujibu wa cas kuwa kuna utaratibu wa kuomba udhamini kutoka Global fund na nk ,sasa me sielewi nianzie WAP? msaada waku.
Msaada:Naomba kufahamishwa kuhusu (Orodha ya wilaya zenye nafasi za ajira)ili nijaze fomu kama maelezo ya kuomba nafasi za masomo wizara ya afya yanavyo elekeza kuhusu udhamini.
Ndugu zangu wapendwa habari zenu: Nimetumiwa picha whatsup ninapo jaribu kuifungua naambiwa(The download was unable to complete.please try again later) naombeni msaada nifanyeje ili nizione ahsanten waungwana.
WAKUU aslamalaykum, Bwana Yesu asifiwe?.Wakuu nina laptop aina ya SIEMENS AG,Model-SIMATIC Field PG M2.Laptop hii inamatatizo ya Drivers sita;
1.Network controller
2.Ethernet controller
3.SM bus controller
4.PCI Device
5.Video controller[VGA compatible]
6.Video controller
Naombeni msaada...
Pole sana,naweza kusema wananchi wa Tanzania tumezoea kupelekwa pelekwa katika kila idara.Na laiti sisi wenyewe tungekuwa na ushirikiano nchi nzima kama nchi zingine serikali ingetia adabu.Ok,ndio uzalendo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.