Search results

  1. mkandi

    ARUSHA: Rais Magufuli awatunuku Kamisheni maafisa wapya 422, atangaza nafasi 3000 za wanajeshi wapya

    Nafikiri ni hao waliopewa nafasi baada ya tukio wakidai wamejiuzulu u diwani.
  2. mkandi

    Nmepimishwa HIV/AIDS kwa lazima

    Kama kuna kitu tuko nyuma kama watanzania ni kuhusu Elim ya afya ya jamii. Vitu vidogo mpaka uulize hospitali au kwa mtaalam. Tunatakiwa tuwe na BP machine nyumbani, thermometer, glucometer, chati za BMI nk kama basic home items
  3. mkandi

    Nini kinamliza mwanamke kitandani?

    Kuna jamaa aliwahi kushauri kuwa kundi hilo ni wale wanaojua WHAT IS LIFE, na wamejifunza kwa namna moja au nyingine na mistake walizofanya. Na kwamba ni wavumilivu na akili pevu, sio umiza kichwa. What do you comment on that.
  4. mkandi

    Updates: Mdahalo wa Wagombea Urais CCM - Julai 05, 2015 via Star TV

    Swali :Wanaongelea kujipanga na mikataba mipya ya gas, Je wakiwa Marais watashughuli kiaje mikataba mibovu iliyowekwa?
  5. mkandi

    Wembamba huu unanifanya nijihisi dhaifu na mpweke sana

    DO 2de A; BMI yako iko chini, unapaswa kuongezeka. -Kutokana na comment yako hapo juu, nachelea kuhisi pengine una tatizo la nyongo. Ndio maana unapata Steatorrhea (una harisha mafuta) Hebu check rangi ya 'choo' chako. Je ni gray or pale? Nenda hospital, waweza agizwa kupima vipimo mahsusi...
  6. mkandi

    Kikokotozi (calculator) ya kupata ushuru TRA kwa kila gari linaloagizwa kutoka nje (Imported Cars)

    Mkuu, Naomba kusaidiwa jinsi ya kuitumia. Siewelewi wapi naweka nini. In $ or Tsh. Najua ni kazi kunielewesha, but jitahidi Mkuu
  7. mkandi

    Ntalikwepaje zimwi hili kutoka Japan?

    Dah umenipa shortcut nzuri. Jf haijawahi kosa uniqueness
  8. mkandi

    Ntalikwepaje zimwi hili kutoka Japan?

    Ahsante mkuu. So naweza negotiate nao kuhakiki kama gari iliyobandikwa kwenye page ni yenye engine husika! Coz hua naona reply zao ziko more 'automated'
  9. mkandi

    Ntalikwepaje zimwi hili kutoka Japan?

    Nataka kununua Mark 2 Grande kutoka Japan. Tatizo nililonalo, sijui nawezaje kuchagua aina ya engine (eg D4, vvti) wakati wa kuagiza esp kupitia befoward ambao niliwahi kuwatumia last time. Tafadhali msaada wadau, kwani ningependa kulikwepa zimwi linyonya mafuta (D4, kama nisikiavyo kwa wadau)...
  10. mkandi

    Kakobe katumia sayansi gani umeme usipite kanisani kwake?

    Hakuna uongo wowote mkuu. No namna unavyoweza ghamua. Only Story ya kale inaweza athiriwa na:- 1)technology/nyakati. Mfano: Babu zetu walisema mtoto akianza kuota meno, anaharisha. Lakini leo tunajua sababu ya kuhara. Hivyo tumebadilisha statement. 2)Lugha iliyotumika.biblia imeandikwa...
  11. mkandi

    Kakobe katumia sayansi gani umeme usipite kanisani kwake?

    Hoja yako ni tofauti kabisa na Galileo. Uhakika uliopo ni jua lilisimama juu ya vichwa vya wanadamu. Whether ni matokeo ya jua kusimama ama dunia kusimama; lazima kimojawapo kilisimama.that's what we're interested of. Explanation zitaendelea kubadilika kutokana na wakati, but TUKIO litabakia...
  12. mkandi

    Gharama za kuendesha Serikali ya Muungano

    Serikali 3 haitafutwi kwasababu itakua nafuu kiuchumi, ila kwasababu ni matakwa ya wananchi wanzbr. Nchi zote zimekua huru kwa lengo tu la kujitawala. Pengine kiuchumi ingefaa zaidi kubak na waingereza/waOman. serikali 3 ilikua ni busara ya ku_harmonize kundi kubwa la wasiotaka muungano. Haikua...
  13. mkandi

    MAKWAIA,umeamua kuwa MNAFIKI !!

    Wageni wake wa kudumu ni ma lekcha ma_conservative; Sabato na Bashiru. Wazee wa Africanism. Wakiwa studio ni porojo za kudanganyana; bila kuongelea soln za modern Africa. tragedy of the commons
  14. mkandi

    UN yaikana Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hadharani, Hati ya Muungano haiko UN

    Walikosea sana kusema ipo UN. Wangesema ipo Addis ababa. Kule UN nyeusi ni nyeusi. tragedy of the commons
  15. mkandi

    Mwanaume wa ndoto yangu

    Nakuona kama msichana makini sana kutokana na post zako. Hasa sifa namba 4, umenikosha. Wenye sifa stahiki wamekusoma. tragedy of the commons
  16. mkandi

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Ijumaa Tarehe 21 Machi 2014 - Hotuba ya Rais, Uzinduzi wa Bunge Maalum

    Namaanisha wewe mtz mwenzangu. Nchi zote duniani wanasiasa husoma upepo wa wananchi kabla ya kutoa misimamo. Ukiona CCM yenye wanachama chini ya mil. 5 inaweka misimamo kinyume na matakwa ya wananchi; bila hofu ya kukosa dola; ujue udhaifu ni wetu kama raia. Itishishe nini wakati ndani ya...
  17. mkandi

    Nani mhusika mkuu (mwanaume au mwanamke) katika kuzaa watoto wazuri?

    Hizo ni genes 2 tu! Lakini more than 90% ya cell components za mtoto zinatoka kwenye cell ya mama. Binafsi naamini mama mzuri ni mambo yote. tragedy of the commons
  18. mkandi

    Hivi hili swala la zanzibar kuvunja katiba ya JMT sio tatizo kwa Jakaya?

    Nimemsikiliza Samia Suluhu kwenye kile kipindi biased cha channel 10 kiitwacho Je tutafika?. Anasema baadae tukae chini kujadili mapungufu yaliyosabibishwa na katiba ya Znz. Bila shaka anaelewa katiba ya JMT inasema sheria yeyote iwayo kinyume na katiba ya JMT ni batili. Je mambo haya ni kwa...
Back
Top Bottom