Search results

  1. Nyetk

    Dkt. Mwigulu Nchemba apata ajali ya gari akielekea Dodoma

    Ameshafanya mengi mazito na yakudumu Mh. Mwigulu. Kama vipi Mzee Mungu ampende tu ampumzishe maumivu. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Nyetk

    Kadri binti yangu anavyokua nazidi kumchukia mke wangu

    Kusanya ujasiri mkapime DNA. Unaweza kujiua na kihoro bure kumbe hamna lolote.
  3. Nyetk

    Mother's Day: Leo ni siku ya Wakina Mama Duniani, umemkumbukaje mama yako?

    Nakuoenda sana na nakuombea daima mama yangu. HAPPY MOTHERS DAY!
  4. Nyetk

    Prof. Mwandosya: Hongera Mhe.Joseph Mbilinyi (Sugu) kwa kuhitimu chuo cha uanasiasa

    Baadaye kidogo hukawii kusikia "My Account was hacked"
  5. Nyetk

    Asante jeshi la polisi hatua ya kwanza kutafuta haki imechukuliwa...

    Nyinyi fanyeni tu hizo porojo na prapaganda za kingese lakini ukweli uko dhahiri kuwa mhutu mchi imemshinda, Period. Na kama huyu hatatokezea The Hague basi hiyo mahakama haina maana.
  6. Nyetk

    Marekani waandamana kupinga matumizi holela ya silaha

    Kwetu watu wakiandamana kuitaka tume itende haki bunduki za kivita zinaelekezwa hadi kwenye mabasi ya abiria, na marais wetu wastaafu wameufyata tu!
  7. Nyetk

    Bado naitafakari kauli ya Waziri Mwigulu Nchemba

    Na sisi watanzania tunatarajia kweli atajishughulikia.
  8. Nyetk

    Bado naitafakari kauli ya Waziri Mwigulu Nchemba

    Bado hata sasa ana ndoto za urais ndiyo maana ameingiza matumizi ta nguvu za dola kwenye chaguzi ili ikitokea akapendekezwa baada ya Kiongozi wa Malaika basi ashinde kwa mtutu wa bunduki.
  9. Nyetk

    Bado naitafakari kauli ya Waziri Mwigulu Nchemba

    Good material. Ila nadhani hujanielewa. Sizungumzii maandamano wala sikufungua uzi ili kutia moto wa maandamano. This is an eye opener thread for those who don't know the boy in question! Think big bro Elungata!
  10. Nyetk

    Bado naitafakari kauli ya Waziri Mwigulu Nchemba

    Chadema inakujaje hapo mkuu? I hate this kind of talk. Mimi ninapinga fikra za huyu waziri kwa sababu hiyo hiyo ya kutengeneza mchawi wakati sote tulikuwepo wakati marehemu anauliwa! Sujui unanielewa? Kama una ndoto za uDC kawaone akina Bashite na Shoza wakupe mbinu.
  11. Nyetk

    Bado naitafakari kauli ya Waziri Mwigulu Nchemba

    Mkuu hiyo siyo suluhu na wala haihitajiki. Hawa watu watanzania tungenjitambua ni wepesi kuliko unyoya wa sungura eti!
  12. Nyetk

    Bado naitafakari kauli ya Waziri Mwigulu Nchemba

    Simshangai Nwigulu. Naushangaa upofu wa watanzania wa kushindwa kuona vitu vya wazi kama hivi!
  13. Nyetk

    Bado naitafakari kauli ya Waziri Mwigulu Nchemba

    Je, kweli watanzania hawa watajitokeza?
  14. Nyetk

    Bado naitafakari kauli ya Waziri Mwigulu Nchemba

    Wote tungependa hilo litokee. Ila uzoefu unaonyesha kwamba ukitaka kuukata mti mkubwa ulio karibu na nyumba anza kwanza kuupunguza matawi ili usije ukaidhuru nyumba. Hiyo ndo hoja yangu.
  15. Nyetk

    Bado naitafakari kauli ya Waziri Mwigulu Nchemba

    Bila shaka watanzania wengi sasa hivi wanafahamu kinachoendelea kuhamasishwa mitandaoni juu ya maandamano ya wananchi ya kupiga uvunjifu wa amani na ukosefu wa uhuru wa kweli na demokrasia vinavyoendelea kuchukua kasi nchini kwetu. Juzi mkuu wa nchi akiwa Singida ktk tukio la kufungua kiwanda...
Back
Top Bottom