Search results

  1. P

    Dar: Mkurugenzi wa Jiji amtumbua mkuu wa manunuzi kwa kujiingizia Ths. 400,000 za wizi kila siku

    Jana mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam Bi. Sipora Liana alianza kwa kasi ya ajabu baada ya kumtumbua aliyekuwa mkuu wa manunuzi pale jiji baada ya kugundulika kuwa alikuwa anachukua mapato ya vyoo katika stendi ya Ubungo, Benjamini Mkapa na soko la Machinga na ilikadiriwa alikuwa anajipatia...
  2. P

    Mwenye uzoefu na vw Tourage

    Wanabodi naipenda sana hii gari niliendesha ya rafiki yangu inatambaa kama ndege halafu ni comfortable naomba mwenye uzoefu nayo kama service na spare party kabla sijatumbukia
  3. P

    Distributor wa lenovo hapa nchini ni kampuni gani?

    Wakuu ni kampuni gani wanadistribute Lenovo kwa hapa nchini?
  4. P

    Msaada kwenye CMS ya Joomla

    Wakuu naomba msaada kwa wanaojua extension iliyotumika kwenye site ya chuo Uhasibu Arusha( Welcome to Institute of Accountancy Arusha) ambayo ina blinking red arrow kuonyesha news inayohitaji attention nimejaribu kuitafuta nimeshindwa CC Young Master CHIEF MKWAWA C6 zec na wengine wenye...
  5. P

    Nataka kutumia ubuntu 12.04 server na windows 2012 serverW

    Wakuu nimenunua server nataka kuinstall server ya windows na ubuntu zifanye kazi kwa wakati mmoja kwa kutumia vmware. nataka windows kwaajili ya application za kawaida na ubuntu kwaajili ya kuhost web based application inawezekana? cc Kang CTO
  6. P

    Serikali ya CCM kutumia shs 585,000,000/= kujitangazia mafanikio kwenye vyombo vya habari

    Leo asubuhi nimeshtuka pale huyu waziri mwenye elimu ndogo sana ndani ya serikaliya chama dhalimu cha CCM Ndugu LUKUVI aliposema wanatumia kiasi kidogo cha hela ambacho ni shs 6,500,000/= kwa siku kwa muda wa siku 90, kwaajili ya kujipromoti kupitia vyombo vya habari maendeleo waliyoyafanya kama...
  7. P

    Sherehe za kupongezana CCM - Mnazi Mmoja, Dar

    Kile chama kichakavu kinazidi kuangamiza kodi zetu kwa kuendeleza sherehe za kupongezana hapa Mnazi mmoja maandalizi yake yamekula zaidi ya milioni 150 mpaka 2015 tutakuwa tumeangamia
  8. P

    Kero za wananchi Jimbo la Kigamboni na majibu ya mbunge...

    Tokea amechaguliwa 2010 sijawahi kumuona Huku Mbagala kuja kusikiliza Kero za wapiga kura wake Kama wanavyofanya wakina Mdee na Mnyika kwenye majimbo Yao yeye kutwa ni kufungua Album za miziki ya kwaya tuu. Vilevile asifikirie ujenzi wa daraja la kigamboni atautumia kujinufaisha kisiasa kwamba...
  9. P

    CCM yaanza kuwatumia Marais wa Vyuo kuhamasisha Kupitia Ofisi za PCCB

    Chama Cha Mapinduzi jana kiliwaita Marais wote wa vyuo kwenye ofisi ya makao makuu ya kuzuia Rushwa na kuwaahidi vitu mbalimbali ikiwemo kazi wakimaliza masomo yao kwa masharti ya kuhamasisha wanafunzi huko vyuoni waikubali CCM. Kikao chenyewe kilifanyika Jana mida ya saa nne vyakula vilikuwa...
  10. P

    Kigoma: Mbona ahadi ya Rais kuibadilisha Kigoma kuwa Dubai hatekelezwi?

    Wananchi wengi wa Mkoa wa Kigoma wamekasirishwa na Ahadi za Rais ambazo wameshaona hazitekelezeki za kubadilisha mkoa wao kuwa kama dubai kushindikana wamesema wanataka angalau barabara kwasababu swala la kuifanya kuwa dubai haliwezekaniki hata wakipewa miaka mia chini ya uongozi dhaifu wa CCM...
  11. P

    Message ya kugomea sensa

    Wanabodi kuna message inasambaa kwenye mitandao ya simu imeandikwa"WAISLAM WOTE NI MARUFUKU KUSHIRIKI KTK ZOEZI LA SENSA.ATAKAYEKIUKA WARAKA HUU ATAKIONA CHA MOTO MBELE YA ALLAH." my take message Kama hizi za kichochezi ni hatari sana ikizingatiwa hili zoezi linaendeshwa na serikali ambayo...
  12. P

    Shamra shamra za mkutano wa CCM zimeanza

    Wanabodi nipo mbagala maeneo ya kizuiani ile kampeni jaza uwanja imeanza gari lenye vipaaza sauti linasumbua wananchi Wana lalamika huu ni muda wa kazi wao hamasisha jangwani mbona mbona Hawawi watulivu Kama wenzao chadema watu Wana waonyesha vidole viwili . Wengine wanasema Chama tawala...
  13. P

    Kesi ya Mnyika hukumu ni Leo

    Wanabodi ile hukumu iliyokuwa inasubiriwa kwa hisia tofauti itaanza masaa machache hajayo tuone Kama chaguo la wapiga kura wa ubungo litapigwa chini au mahakama itawaunga mkono. Twende kazi
  14. P

    Kauli za Nassary vs Magufuli mkichagua wapinzani hatutaleta maendeleo majimboni

    Polisi wakishamalizana na Nassari. wawahoji na akina Magufuli kwa kauli zamkichagua upinzani serikali haitaleta huduma jimboni. Najua PM alisema it was just "unfortunate" na yakaisha, hawajahojiwa na polisi na wala hawajaomba radhi. kauli hizi ni za kiuhaini tu kama za Nassari, lakini polisi...
  15. P

    W.J Malecela anatetea hata wezi wa kura ili mradi yeye apate kura kutoka kwao

    Kuna thread moja iliyokuwa inaelezea jinsi mbunge wa segerea alivyo changanyikiwa kutokana na ile kesi yake ya wizi wa kura lakini le baharia anamtetea sana kwa vile anataka kura yake kwenye ule ubunge wa afrika mashariki " Well, Great Thinkers tujifunze kujadili kwa kutumia haki na fairness...
  16. P

    Makamba Jr, Deo Filikunjombe, Dr. Kigwangalaah, Lugola wote ni wazee hawafai

    Imenichukua muda mrefu kupata maana halisi ya neno uzee nilichogundua hata ukiwa na mawazo ya kizee hata Kama una umri wa miaka 18 wewe ni Mzee tuu. Hao niliowataja ni Kati ya wabunge waliopata kura kupitia Chama cha magamba kwa muonekano wa ujana lakini wamekua ndio wa kwanza kumpinga mnyika...
  17. P

    CCM kutumia tarehe 1/4/2012 kujipatia ushindi kwa propaganda

    Uchaguzi mdogo wa Arumeru unaotarajiwa kufanyika tarehe 1/4/2012 ambayo ni foolish day CCM inaweza kutumia vyombo vya habari ikiwa ni Redio na magazeti kuwahadaa watu kuwa uchaguzi umeairishwa ili wapiga kura wengi wasijitokeze ikiwa ni njia ya kujipatia ushindi au kuwaambia watu kwenye vituo...
  18. P

    Wazee wa Arumeru wakataa kupanda malori wanataka V8

    Tofauti na ilivyokuwa Igunga chama cha magamba kilikuwa kinabeba watu kutoka eneo moja kwenda lingine kutumia malori ili kuonyesha kuwa kinakubalika kutokana na wingi wa watu Lakini Arumeru wazee wanakataa kuyapanda hayo malori wanataka wapande V8 na wakina Mwingulu ,Nape na wengine wa magamba...
  19. P

    Wakuu! Magufuli ataenda Arumeru kuahidi?

    Imekuwa ni kawaida ya magamba kumpeleka magufuli kwenye kampeni zao kwenda kuelezea mikakat ya ujenzi wa barabara na madaraja Kama mbinu za ushindi vip kipindi hichi kagoma nini?
Back
Top Bottom