Search results

  1. P

    TANZIA Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA 2015) afariki dunia

    Umeilata hii habari ya Nini wakati unajua sio kazi yako
  2. P

    Meli ya kivita ya Uingereza iliyokua ikipambana na Houthi imeharibiwa vibaya

    Wamechokoza moto ndio mwisho wao umewadia hao magaidi
  3. P

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

    Hiyo Hezbollah ikicheza itafutwa kama Hamas
  4. P

    Ukubwa wa Israel ni kama mkoa wa Mtwara lakini wanapiga kelele Duniani kote!

    Ngoja kobazi zitimbe utasikia Hamas Kesha shinda vita
  5. P

    Mabishano makali yazuka Baraza la Vita, Netanyahu afuta kikao

    Mimi sijajigamba naelewa kiasi ulichosema wewe
  6. P

    Mabishano makali yazuka Baraza la Vita, Netanyahu afuta kikao

    Kwahiyo kwasasa upo Tehran kama Moja ya majaji walio wahukumu mossad?
  7. P

    Mabishano makali yazuka Baraza la Vita, Netanyahu afuta kikao

    Acha uwongo walionyongwa ni raiawa Iran wanaohisiwa kushirikiana na mossad
  8. P

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika aanza ziara ya Kikazi Nchini Marekani

    La kwako ndio kubwa kama la mwenezi wenu
  9. P

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika aanza ziara ya Kikazi Nchini Marekani

    inakuhusu nini? wewe haingaika na hayo makatibu makuu ya chama lako wanaojirekodi wakifanya ufuska
  10. P

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika aanza ziara ya Kikazi Nchini Marekani

    Mara nyingi ziara kama hizi sio za kitoto huwa zina manufaa makubwa kwa nchi sio kama zile za bibi tarabushi za kuuza nchi
  11. P

    China life tight sana

    Halafu wajingawajinga watakuambia mpinzsni wa chins ni USA hahaha
  12. P

    Taarifa za Kijasusi: Hamas bingwa wa mabingwa. Hivi karibuni kutatangazwa ushindi mkubwa kwa Wapalestina

    Tulia wewe mammalia kwani ni uwongo huyo ajuza hajazidiwa na mihamu ? mwache achapwe na vijana
  13. P

    Taarifa za Kijasusi: Hamas bingwa wa mabingwa. Hivi karibuni kutatangazwa ushindi mkubwa kwa Wapalestina

    Wewe ajuza achakupekua vihabari vya madrassa unaleta hapa Gaza ndio inaenda kupotea na Hamas yake
  14. P

    Moise Katumbi ataivusha Congo DR

    Hata magu alitudanganya hivyohivyo kuhusu viwanda
Back
Top Bottom