Search results

  1. S

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Frederick Werema ajiuzulu

    Wahisani wanataka kuona hatua stahiki zinachukuliwa dhidi ya wahusika....sasa mtu kajiuzuru kwa hiari yake hyo sivyo tutakavyo...afikishwe mahakamani akajibu tuhuma za kusababisha upotevu wa mabilion ya pesa za umma...
  2. S

    Umeme wa bei rahisi Dar kuanza mwakani

    Hivi sasa huku kwetu tmk umeme unakatika daily asubuhi na usiku..sasa huo ni upuuuuuz.
  3. S

    JE HII TV INAWEZA TUMIKA Tz

    Hivi TV aina ya LG42LH3000 inaweza kufanya kazi Tz.
  4. S

    Ronaldo de Lima- Zinedine Zidane- Ronaldinho- Christiano Ronaldo- Mess nani unamkubali

    Kwa kipaji basi ni dinho,mesi na de lima.wengine ni kujituma uwanjani saana.
  5. S

    Asili ya Waislamu wa Masama, Hai Kilimanjaro ni wapi?

    Hata akina mkwawa walikuwa wanafanya biashara ya utumwa kwa kuwauza mateka wao wa kivita,na hata leo hii biashara ya utumwa ipo na inaendelea sema katika style tofauti tu.
  6. S

    Kutoka kofia ya barghashia ya Nyerere 1964 hadi msalaba wa William Lukuvi 2014

    unakosea unapochukua kauli ya "mtu mmoja" na kujumuisha na watu wengi...then kumbuka aliyesema hayo yupo ktk nafas ile kama kiongoz wa kisiasa na nchi yetu haina dini..
  7. S

    Snura Majanga anaswa kwa Sangoma ( Mganga wa Jadi ) akiwa amebebeshwa vibuyu!

    ondoa neno "mkongwe' labda litumike kama lilivyo lakini lisimaanishe "legend"..kikongwe lingefaa
  8. S

    Msigwa alisomea wapi uchungaji?

    "watanzania hawatamchagua mtu kutokana na dini yake,kabila lake wala mahala anapotoka" mwl nyerere...we unataka kutupeleka wapi???????????
  9. S

    Baba Kanumba: Wanaotaka uzao wa Kanumba wajitokeza

    hahahaaaaaaaa..mzee ni bonge la nyau
  10. S

    La Zitto Kuvuliwa Nyadhifa CHADEMA: Mhe. Zitto, Please! Play It Cool!-Usijibizane Mitandaoni!.

    Mbona unajitekenya na kucheka mwenyewe mkuu pasco..umesema hutoi maoni hadi taarifa rasmi iwekwe..then at the same time umetoa povu jiiiiingi la kumtetea kabwe na kujinasibu kuwa sio mwanachama bali ni mfadhili wa cdm..
  11. S

    CCM Kuanguka Kwa CHADEMA is not our Party Interest we should Help Them!!

    Mmmh..umetumia lugha gani hapi mkuu.
  12. S

    Zitto kulipuka tena juu ya mishahara ya viongozi wa umma

    Aiseeeee..tuache masihara..bongo politics payz!!!
  13. S

    Wabunge wa CCM Wakibadili Mawazo Bungeni Nitarudisha Kadi yangu ya CCM Siku Hiyo Hiyo!!

    Rais ameona umuhimu wa mswaada kujadiliwa kwa kina na wadau wote..kwan mara ya kwanza ulijadiliwa na kupitishwa na "wana ccm" kwa kutumia kigezo cha "kwa mujibu kwa sheria"..unataka kutumia loop holes za katiba ya zamani kupitisha uharamia na kutupa katiba chafu ee.
  14. S

    Maisha ya diamond ya wekwa wazi na dogo wake

    Sasa wanakuwaje mama moja tumbo tofaut au maskio yangu...ila beat nzuri sana kaharb kwenye meseji tu
Back
Top Bottom