Search results

  1. commited

    Uchaguzi 2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

    MWENYEKITI WAKO ULIMSIKIA KULE MBEYA?? AMEMWOMBA SUGU AMFANYEJE?? Naona unauelewa mdogo sana binti.
  2. commited

    Uchaguzi 2020 CHADEMA: Matukio ya Chato, Kahama yanatishia usalama wa Tundu Lissu

    MKUU UKO SAHIHI HATA LEO WAMEJIPIGA MAWE WENYEWE, NI WAO PIA WALIMPIGA RISASI LISSU, ILA MPAKA LEO CCM NA SERIKALI YAKE INAOGOPA KUWAKAMATA WAUAJI.
  3. commited

    Uchaguzi 2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

    CHADEMA NAO WAPIGE MAWE MIKUTANO YA CCM? CCM INAONGOZA ARUSHA? ANAONGOZA MBEYA? INAONGOZA KIGOMA?? INAONGOZA IRINGA?? INAONGOZA JIJI LA DAR??
  4. commited

    Uchaguzi 2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

    MAGUFULI NAYE AU MAMA SAMIA AKIENDA KIGOMA, AU MBEYA NA ARUSHA NAYE APIGWE MAWE YA KUTOSHA SIYO?? SIASA ZA WAPI HIZO NDUGU YANGU??
  5. commited

    Uchaguzi 2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

    Nikweli amepata jibu je hizi ndio siasa tunazozitaka kiongozi? Kuna maisha zaidi ya hizi siasa JE na chadema nao waamue sasa kwenye zile stronghold zao, kama Arusha, Dar, Mbeya, Iringa, nao waruhusu watu wao kushambulia mikutano ya CCM tutafika?? Kwani ni lazima watu waende kwenye mikutano...
  6. commited

    CHADEMA tunaporejea kwa kishindo, tahadhari

    Vipi mkuu mwenyekiti wetu wa chama anaendeleaje, siku hizi kampeni zetu ni za mjini tu. Afya yake kama gari la mkaa trip 1 shamba, siku 7 gereji, Mwambie atubu. Tunasubiri kishika uchumba cha bariki, malelezo ya 1.5 Trillioni, Noah zetu, na milioni 50 Kila kijiji. HATUJASAHAU.
  7. commited

    Oktoba 28 ni mashindano kati ya Reality vs Ahadi Hewa? Je, Watanzania watachagua nini kati ya visible, tangible Deliverables vs The Empty Promises?

    Vipi zile Noah zetu binti, mnamalizia usajiri?? Kishika uchumba kilishakuja?? TUNASUBIRIA
  8. commited

    Uchaguzi 2020 Majaliwa: Tusimchague mtu kwakuwa amepanda jukwaani kwa mbwembwe, lazima tupate Kiongozi atakayeweza kutuunganisha Watanzania wote

    MSALITI NI YULE SIKU ANAAPISHWA, ALIDAI KUILINDA KATIBA YETU, AMBAYO INAZUIA AINA YOYOTE YA UBAGUZI, LEO ANASEMA WATU WA CHAMA FULANI MSINILETEE, MARA MMEKOSA MANEDELEO KWA SABABU HAMKUNIPA CONNECTION. VIPI MKUU MBONA KAMPENI ZA MWAKA HUU MPO KWA MJINI TU?, MWENDE VIJIJINI KULE MKAWAELEZE...
  9. commited

    Uchaguzi 2020 Majaliwa: Tusimchague mtu kwakuwa amepanda jukwaani kwa mbwembwe, lazima tupate Kiongozi atakayeweza kutuunganisha Watanzania wote

    Tunasubiri Noah zetu na Milioni 50 Kila kijiji, HATUJASAHAU, Watu Milioni 30 Tunasubiri hizo ahadi. TUKUTANE OKTOBA 28
  10. commited

    Uchaguzi 2020 Sababu 27 za kwanini Magufuli hafai kupewa miaka mingine 5 ya kuwa Rais

    Kiongozi yoyote yule ambaye anatubagua kwa namna yoyote ile, na ambaye hafuati katiba yetu, hatufai, TUMKATE, Maana hana tofauti na kaburu, ni kaburu tu.
  11. commited

    Uchaguzi 2020 Sasa hivi tupo CCM asili na CCM Mpya, hii CCM Mpya ni kikundi kidogo sana cha Bashiru, Polepole na wahamiaji toka upinzani

    Chama kimegawanyika vipande vipande kwa sababu ya watu hawa wawili Hawakuwahi kuwa wana CCM kabisa, wamekuja wameleta aidia za kizamani kabisa wakidhani Watanzania wako stone age. Hawa wapo chamani kwa maslahi yao tu ya kupata pesa, wala si kufanya chama kisonge mbele hata kidogo Wale CCM...
  12. commited

    Uchaguzi 2020 CCM itashinda uchaguzi huu kwa kishindo kikuu kutoka kwa wananchi wa makundi haya

    Salaam Utafiti wangu mdogo unanionyesha kwamba CCM itashinda kwa kishindo sana kwenye uchaguzi huu, na kupata kura nyingi sana kutoka kwa makundi haya 1. Wale waathirika wa bomoa bomoa kimara (Zaidi ya familia 350 ziliathirika) na maeneo mengine ambao kesi zao bado zilikuwa mahakamani...
  13. commited

    Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Prof. Palamagamba aula, Mwakyembe achukua nafasi ya Nape Nnauye

    KUNA UZI HUU SIJUI UNAUKWELI, ETI NAPE KAKAMATWA NA WATU WA MIKONO SALAMA, https://www.jamiiforums.com/threads/brkng-news-nape-yupo-mikono-salama.1222481/#post-20301555 IMBOMBO NGAFU MWANAFYALE.....HAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAA
  14. commited

    Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Prof. Palamagamba aula, Mwakyembe achukua nafasi ya Nape Nnauye

    Madame Hujakomaa tu kushabikia hawa mtu na mwanawe..Ehh Una moyo wa chuma. Pole sana,lakini vipi yule binti yetu alipataga mkopo-chuo maana nakumbuka kipindi kile ulilalamika sana........[QUOTE="Mamndenyi, post: 20301236, member: 41512"]Mwana ccm kindakindaki,
  15. commited

    Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Prof. Palamagamba aula, Mwakyembe achukua nafasi ya Nape Nnauye

    MNAO SUBIRI MAENDELEO YA VIWANDA CHINI YA UTAWALA HUU, MNAKAZI KUBWA NI SAWA NA KUMUELEWESHA CHIZI SISIEMU,. HOYEEEEEEEEEEEE, KAMA NAWAONA VILE...... 2020, BASHITE ATAKUWA MSTARI WA MBELE KUHAKIKISHA DAR-ES-SALAAM INARUDI SISIEMU IWE KWA HAKI AU KWA HILA, TAYARI AMEENZA KUWEKWA KARIBU NA...
  16. commited

    Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Prof. Palamagamba aula, Mwakyembe achukua nafasi ya Nape Nnauye

    KINACHOONEKANA KATIKA HAYA YANAYOTOKEA NI ONYO KWA WAZIRI YEYOTE KUMKOSOA BABA BASHITE MAWAZIRI POLE ZENU, MSAHAU KABISA KUFANYA KAZI KWA WELEDI... NA MKICHEZA MTATUMBULIWA WOOTE KWA SASA, BASHITE ANARUHUSIWA KUMFANYA MTU YEYOTE JAMBO LOLOTE...BILA SHAKA ANAWEZA KUKILL ANY BODY AT ANY TIME...
  17. commited

    Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Prof. Palamagamba aula, Mwakyembe achukua nafasi ya Nape Nnauye

    HAISHANGAZI MAAMUZI KAMA HAYA KUFANYWA NA KIONGOZI ANAYEJIONA YUKO SAHIHI KWA KILA JAMBO, KIONGOZI HUYU ANAPENDA WATU WANAFIKI, WAKUJIPENDEKEZA, WASIOPENDA KUSEMA UKWELI. NI MTU ALIYEJAA CHUKI NA VISASI. VIWANDA TUTAVISKIA TU HEWANI KAMA UDAKU MWINGINE. PROF KABUDI, NA AKILI ZAKE, NA PRINCIPAL...
  18. commited

    Sina hofu hata kidogo, leo ZANACO inang'olewa na Yanga

    MECHI IMEISHA, YANGA 0-0 ZANACO
Back
Top Bottom