Search results

  1. J

    Kwa walioko kwenye ndoa, mawazo yenu please

    hilo swali hukustahili kulilta humu kwani linahitaji akili kidogo sana. wewe umeoa, that means wewe na mke ni kitu kimoja. but suala la kwenda nymbani kwenu lisiwe kisingizio cha kila siku ukitoka kazini. kama kuna ulazima wa kupita nyumbani then unaweza kwenda bila wasiwasi ila ni vyema...
  2. J

    school of law

    kama wauliza school of law ya UDSM ni vyema ukaingia mtandaoni na ku-download prospector yao ipo itakusaidia kwa taarifa nyingine pia
  3. J

    mkataba wa ajira

    mkataba wa ajira ni haki yako. unahaki kupewa nakala baada ya kusaini mkataba wewe na mwajiri wako, na ikitokea hajakupatia pia unahaki kudai kopi for your reference purposes na pia kama itatokea mtafaruku wowote kati yenu uwe na written document zinazoonesha makubaliano yenu pamoja haki zako.
Back
Top Bottom