Search results

  1. M

    Asili ya jina la Manzese

    Kuna tetesi kwamba asili ya jina la Manzese (Dar) ni Manchester (ya Uingereza). Wataalamu wa lugha mnasemaje kuhusu hili? Ni kweli?
  2. M

    Je tukubaliane na kauli kwamba ngozi nyeusi tumelaaniwa?

    Wee ndugu yangu wee...kumbe ndivyo mnavyohubiri makanisani ili waumini wenu waamini kwamba watabaki wamelaaniwa hadi hapo watakapotubu dhambi? Kutubu dhambi ni mhimu, lakini naomba hiyo Bible (sijui version gani) uisome vizuri, halafu pia soma context yake. Hayo makabila 12 ya Israel sio hao...
  3. M

    Tutaachana lini na lugha ya kiingereza?

    Mzeelapa, kweli inaelekea tumelala usingizi mkali...wanajaribu kutuamsha lakini wapi...tupo fofofo. Kwa kuongezea kidogo hayo uliyoyasema, waKongo wanapenda sana kusikiliza idhaa zetu za kiswahili. Pia wageni wengi wanaofika Tanzania, hata kwa utalii tu, wanatamani kujifunza Kiswahili haraka ili...
  4. M

    Tutaachana lini na lugha ya kiingereza?

    Ndugu yangu, kuna mambo ambayo hubadilika yenyewe kwa sababu ya nguvu ya wakati. Kwa mfano mabadiliko ya tabiajua. Lakini hili la lugha za duniani linahitaji sana nguvu ya mtu au taasisi--bila shaka wakati unaweza kuwa msindikizaji mzuri. Tukiuachia wakati uamue basi mabadiliko hayatatokea. Ni...
  5. M

    Tutaachana lini na lugha ya kiingereza?

    Ahsante sana EMT kwa video yako. Inaelimisha vizuri...nakumbuka mwaka 2000 nilitakiwa kufanya mtihani wa TOEFL ili nikifaulu niweze kuruhusiwa kuendelea na masomo nje ya nchi...Ingawa nilifanya, nilijisikia kuwa walikuwa hawajaridhika na shahada yangu ya kwanza ambamo somo kuu (major subject)...
  6. M

    CBE kuandamana kupinga sheria ya mavazi

    Kuna uhusiano (correlation) wa karibu sana kati ya kupenda kuonyesha vitu ambavyo wengi wetu hupenda kuficha, na uwezo wa akili wa jumla (uwezo wa akili wa jumla huhusisha intellect na wisdom). Ukiona mtu anapenda, kwa mfano, kulegeza suruali yake ili **** lake angalau moja lionekane hadharani...
  7. M

    Tutaachana lini na lugha ya kiingereza?

    Sasa unaposema tumechelewa, nini kimetuchelewesha? Jibu lipo: Kilichotuchelewesha ni mambo mengi, moja wapo ni kutokuwa makini na sera yetu ya lugha ktk elimu yetu. Lakini tambua kwamba sera ya lugha ktk nchi yoyote ile huwa ndyo kiini (bila shaka kuna viini vingine...lakini tujikite kwenye hiki...
  8. M

    Dhana ya "boarding school" ilitoka wapi?

    Jamani, mbona hamsemi kitu...mpo kimyaa, mnaangalia tu.
  9. M

    Dhana ya "boarding school" ilitoka wapi?

    Wadau, asante kwa kunipa nafasi hii ili nami niweze kujifunza moja au mawili toka kwenu kuhusiana na mada hii ya shule ya bweni au boarding school. Je ni wakati gani dhana hii iliingizwa ktk mfumo wa elimu ya Tanzania? Nani mhusika mkuu? Je kulikuwa na kitu kama hiki kabla ya wageni wa mwanzo...
  10. M

    Je tukubaliane na kauli kwamba ngozi nyeusi tumelaaniwa?

    Sasa ni muda mwafaka kuanza kutafuta mchawi...Usijali, subiri zamu yako itafika tu...hata wakati ule mababu zako walipokuwa wanatawala dunia, watu weupe walikuwa mbumbumbu, walidharauliwa sana na mtu mweusi, walipigwa sana kwenye vita, waliishi kwenye mapango na vijumba vyao vya...
  11. M

    Tutaachana lini na lugha ya kiingereza?

    Kiswahili ni kigumu kwa sababu hakijaanza kupewa uzito unaostahili. Serikali haijaanza kufanya hivyo. Walimu shuleni hawajaandaliwa kufundisha kwa kiswahili hayo masomo ya science kwa sababu hawajawezeshwa kufanya hivyo...ni jambo la kisera na mwamko. Ndiyo maana tunalijadili hapa. Tunataka...
  12. M

    Tutaachana lini na lugha ya kiingereza?

    Kuhusu hayo maneno, lazima tafsiri yake kwa kiswahili ipo...ukipata muda jaribu kawaone Taasisi ya Taaluma za Kiswahili (TATAKI) pale mlimani chuo kikuu cha Dar es Salaam. Ni kweli. Lugha za kigeni zinaweza kuficha maneno fulani ya kitaaluma. Lakini taasisi kama TATAKI ina jukumu la kuyatafuta...
  13. M

    Tutaachana lini na lugha ya kiingereza?

    ha ha haaa h hu huuu! Weye kazi yako kuchochea mambo tu...wala huchangii hoja...kumbe wee mjanja kiasi hicho! Hebu niandikie kaparagraph kamoja tu kwa king'eng'e halafu ndio tujue kwelikweli kwamba eh mwenzetu kakumbatia king'eng'e wala haachani nacho...yeye na hicho kinanihii ni pete na kidole...
  14. M

    Tutaachana lini na lugha ya kiingereza?

    Ok. but sorry if I've hurt you. I didn't mean it. Let's get back to the real issue, if you still wish. I'll try to behave this time.
  15. M

    Tutaachana lini na lugha ya kiingereza?

    If you don't want to trust yourself, how could I trust you? You've got to transform Africa into something more than USA in terms of everything...another joke?
  16. M

    Je tukubaliane na kauli kwamba ngozi nyeusi tumelaaniwa?

    Kwanza, ngozi yako ni utajiri mkubwa sana...watu wengi weusi hawajatambua hilo. Ukiishi ktk mataifa kama ya ulaya utaona hilo. Mtu mweupe anatambua hilo na sala yake kubwa ni kwamba isifike siku ambapo mtu mweusi ataanza kujitambua. Na anajitahidi sana kuona kwamba jitu hili jeusi haliamki. Njia...
  17. M

    Je tukubaliane na kauli kwamba ngozi nyeusi tumelaaniwa?

    Shukrani kwa kuleta hoja hiii. La kwanza ni hili: ukiwa na ngozi nyeusi si maana yake ni kwamba umelaaniwa--ni kinyume chake. Kama kuna laana yoyote mbona ingekwisha wapata wazungu siku nyingi sana zilizopita. Ukilinganisha uovu alioufanya mtu mweupe na ule alioufanya mtu mweusi utaona kwamba...
  18. M

    Tutaachana lini na lugha ya kiingereza?

    What a mindset! So this is your other perspective: that you can't change the world and all you can do is let the world change you? Are you such a passive being? What do you mean by "the world"? Do you mean this current order in which the south is dependent on the north? And you think this can...
  19. M

    Tutaachana lini na lugha ya kiingereza?

    Wewe baba mweupe (Whiteman), mjadala huu umefikia hatua ambapo tunasema hivi: Jifunze lugha yako, uielewe vizuri na uitumie kikamilifu ktk shughuli zinazohusiana na ujenzi na uendelezaji wa misingi ya kimaendeleo (k.m ktk elimu) na wakati huohuo jifunze kiingereza au lugha nyingine za kigeni kwa...
Back
Top Bottom