Search results

  1. B

    Unapochoma msitu kutafuta panya kwetu

    Kule kwetu kuna msimu wenyeji hutafuta kitoweo cha panya. Utafutaji wa kitoweo hiki huhusisha kuchoma msitu ili kuwafukuza panya na baadye kuwakamata wanapokimbia kutauta kujiokoa na moto uliochomwa kwenye msitu ambao ndiyo mazingira yao. Kutafuta kitoeo si hoja, lakini kuchoma msitu ndiyo hoja...
  2. B

    Rais anaposhindana na vyombo vya kumsaidia kutawala

    Rais ni kiongozi Mkuu wa nchi. Chini yake kuna vyombo mbalimbali vya kumsaidiakuongozi nchi. Vyombo hivi vimeundwa na watanzania wenzake ikiwemo taasisi ya haki za binadamu inayoongozwa Bi Kijo Bisimba. Juzi Kijo Bisimba amemtahadhalisha Mhesimiwa Rais Dr. John Pombe Magufuli kuwa anapotumbua...
  3. B

    Katiba Mpya Dr. Axavery Lwaitama yuko wapi?

    Katika mjadala mhimu wa kupata Katiba Mpya ni busara kusikia maoni ya Wachambuzi mbalimbali ili wananchi wapate maamuzi sahihi baada ya kusikia maoni mbalimbali. Huyu mzee simsikii popote hata katika midahalo iliyoandaliwa na Taasisi mbalimbali. Yuko wapi? Taasisi zinazoandaa midahalo hii kwa...
Back
Top Bottom