Search results

  1. J

    Kwa watu wa mkoa wa Mara

    Ndugu yangu hawa vijana wa mkoa huu na VIMORO HASA WALIOKO PEMBENI MWA HIFADHI NI VIGUMU SANA KUSAHAU HICHO " IBING'ARA, ANYAMA ORI " Ha ha ha ha ha ha very great power is needed to change them ila tutie nguvu ili tuwatoe kwenye fikra hzo maana ni watanzania wenzetu. Mm nimekulia huko na...
  2. J

    Kwa watu wa mkoa wa Mara

    Mkuu kwa jinsi watu wa wilaya ya serengeti na tarime walivyo wachapa kazi wakiamka kielimu naamin watafika mbali sana japo kuna vikwazo vya kimfumo kama vile makao makuu makuu ya hifdhi kuwekwa Arusha bila sababu za msingi.Tuweke mkakati wa pamoja ili vijna wasomi + wengine wa maeneo hayo...
  3. J

    Kwa watu wa mkoa wa Mara

    Binafsi origin yng sio mkoa wa mara ila nimeishi hko kwa muda mrefu sana na hasa wilaya ya serenget.Ukweli ni kwmba raia wa hko ni wachapa kazi sana hasa kilimo na ufugaji,nani asiyejua kuwa mkoa mzima na hta kanda ya ziwa wanategemea sana zao la mahindi,ulezi,mtama na mihogo kutoka wilaya ya...
  4. J

    Three brothers ndani ya Simanjiro; wamasai wajivua magamba, kadi zagombewa kama njugu!

    Hayo magamba huwa sitamani kbisa kuyaona!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  5. J

    Hi comrades, am very gratiful to be part of global thinkers home,lets share together

    Our life should not be cloud oriented and its better to live human disatisfied rather than living pig satisfied.
Back
Top Bottom