Search results

  1. R

    Baraza jipya la mawaziri

    Heshima kwa wote. Ujanja wa JK. J.K anampango wa kubadilisha baraza la mawaziri na siyo kuwawajibisha mawaziri waliyofuja mali za umma. Ujanja anaotaka kuutumia J.K si kuwawajibisha ila atabadili baraza zima na kuwaacha wale waliyo husika ili ionekane kuwa hawajawajibishwa bali ni timua timua ya...
  2. R

    Mponda: Nitajiuzulu kuepusha vifo na si shinikizo la madaktari!

    Akijiuzulu, haitatosha. Tutamfungulia kesi mahakamani ya kusababisha vifo vya watu wasiyo na hatia. Haita isha hivihivi tu. lazima aende jela kidogo. Kwa usalama wake asijiuzuru.
  3. R

    Unatupeleka wapi Kikwete

    Kama hayo yote ni kweli, na yakitokea nidhahili sasa J.K ameshindwa kazi, inabidi sasa na yeye ajiuzuru tupate viongozi wanaoweza kuwatumikia wananchi.
  4. R

    Mgomo wa madaktari na kiburi cha watawala wetu, nani anaumia?

    Sasa unachangia nini kama hata hujui wanagomea nini, na wewe unafahamu maana ya veto au unaongea tu, wenyewe wamesema hao waliousika na kusababisha mgomo wa kwanza waondoke, J.K aweke watu wengine. Ninawasiwasi na uwezo wako wa kufikiri. Ila sikulaumu kwani kwani unafikirikia kwa kutumia...
  5. R

    Madaktari wamuweka JK kikaangoni! Ni kuhusu uamuzi wa kumfukuza kazi Dr Mponda

    Ndugu yangu unatakiwa utambue kuwa wewe ndiye uliye iajiri hiyo serikali yaani wewe (mwananchi) ndiyo Bosi, sasa iweje wewe kama bosi umuombe mfanyakazi wako kutimiza wajibu wake? Serikali inatakiwa ifuate mambo ambayo wananchi wanataka, kitendo cha madaktari kutaka kuwaondoa mawazili ni kwamba...
  6. R

    Madaktari chonde chonde

    J.k siyo wa kujaribiwa kiasi hicho, anauwezo hata wa kuwaacha watanzania milioni mkafa na asifanye chochote, kwa hiyo yeye haoni hatari hata watu wakifa, ilimradi Mwanaisha na Riz1 wanaishi yeye yuko poa. Kwa hiyo usitegemee kama mkifa atasikitika au kuchukua hatua yoyote. Ndiyo alivyozaliwa...
  7. R

    Madaktari chonde chonde

    Wewe ushauri wako ni wa nguvu ya soda, madaktari kitu wanachotaka ni kusaidia (raia wa chini) wasiendelee kuumia na kufariki kwa kukosa dawa na vitu kama hivyo, sasa kama wakiendelea na kazi wakati hamna dawa wala vifaa vya kazi watakuwa wanafanya nini si ni kazi bure! Cha msingi ni serikali...
  8. R

    Kikwete alijua na kuruhusu jengo la ubalozi Italy kununuliwa

    Hiyo inaitwa mwaga mboga nimwage ugali, JK aliyajua yote haya ila kwa sababu ni mkuu akaamua jamaa apelekwe huko, sasa na yeye ameamua kuweka ukweli. Endeleeni kufungunga mpaka ukweli wote ujulikane. UHURU WA KWELI WA MTANZANIA NI PALE CCM ITAKAPO ACHA KUWAIBIA WANANCHI AU PALE ITAPOTOKA...
  9. R

    Siri ya waraka wa Mwakyembe yafichuka; Kisa ni kifo cha ghafla cha mhudumu ofisini kwake

    Wewe radhia hii unaishi dunia gani? hayo mambo yapo na si Africa tu Hata ulaya marekani na kila kona sema tu tunatofautiana katika kuyafatilia. Hiyo ni picha ambayo imechezwa, na wameakikisha vithibitisho vyote wanavipoteza ili ionekane ni uongo. Sijui tutafikia wapi kama hali ndiyo hii. Ee...
  10. R

    Dkt. Mwakyembe: Nimekerwa sana na msimamo wa Jeshi la Polisi juu ya afya yangu

    Ni kweli ndugu yangu, hao maprofessor wanaaminika, ila kwa hali ilivyo sasa unadhani selikari itakubali hizo facts zote ziwekwe hadhalani hasa kama ni detrimental to their favor. mambo yatatoka na itakuwa kama tetesi na mwisho wake ni hivyo hivyo tu kama mambo mengine yalivyotokea.
Back
Top Bottom