Search results

  1. ruhi

    Je, Serikali bado imelala usingizi mzito wakati ajali inamaliza wananchi wake na kuwaachua ukilema mamia?

    Inafikirisha sana kusikia kila leo kumetokea ajali na vifo vya abiria vikiwa vingi sana hadi unajiuliza, je serikali inashirikiana na madereza pamoja na wamiliki wa mabasi kutengeneza ajali? Je, mabasi haya kabla ya kusafiri/kuanza safari zinakaguliwa na chombo gani na kuruhusu waendelee na...
  2. ruhi

    Shule zinazofundisha mitaala ya kimataifa (International Schools in Tanzania)

    Habari za majukumu ndugu wanajamiiforums, Naomba kuuliza kwa mwenye ufahamu kuhusu utofauti wa IB na IGCSEs na GCSEs zinazotolewa na Shule zinafundisha mitaala za kimataifa hapa nchini. Na kipi ni kizuri zaidi kwani nataka nimpeleke mtoto kwenye hizo. Mfano. Nimena Iringa International...
  3. ruhi

    NAFASI ZA KAZI CHUO KIKUU CHA NELSON MANDELA -ARUSHA

    Nafasi za kazi chuo kikuu cha Nelson Mandela
  4. ruhi

    Nafasi za kazi Tanzania Bureau of Standards (TBS)

    Kama unaweza kupata gazeti ya Daily News ya tarehe 2 kuna nafasi nyingi za kazi zilizotangazwa na TBS. Nilijaribu kuzipiga picha ; unaweza kupitia ili uone nafasi unayofit.
  5. ruhi

    Naomba mwenye taarifa kuhusu masters of Business Administration au project Mgt Open University

    Habari za mapumzuko wanajua wa jf? Naombeni mwenye taarifa kuhusu masters of Business Administration au project management zinazotolewa na Chuo kikuu Huria Tanzania kua zinaanza mwezi wa ngapi? Nimejitahidi kuangalia kwenye website zao bila mafanikio, kwasasa nipo mbali na kutuo chao chochote...
  6. ruhi

    Interview EWURA

    Nimesikia tetesi kua usahili itafanyika jumanne ya tarehee 11/05/2017 makao makuu ya EWURA kuhusu post zilizotangazwa na deadline ilikua novemba 2016. Je kuna mdau humu alieitwa?
  7. ruhi

    Mamlaka ya mji mdogo Katoro

    Habari za majukumu wanaJF? Kuna mji mdogo unaokua kwa kasi sana mkoani Geita inayoitwa Katoro. Kwa wale wageni...Ukitoka Geita mjini kuelekea njia ya kwenda Chato au Bukoba unapita Katoro kabla ya njia panda ya Chato na Kahama. Naomba kutoa wito kwa mamlaka ya mji Mdogo wa Katoro kwanini...
  8. ruhi

    NAFASI ZA KAZI.

    TRAINING OFFICER -ARUSHA Qualifications: Holder of Bachelor’s degree in Education,Occupational safety and Health or its equivalent from a recognized institution,three years experience in OHS training or related field Apply: Chief Executive Occupational Safety and Health Authority (OSHA) Box 519...
  9. ruhi

    NAFASI ZA KAZI

    1. PILOTS- DAR ES SALAAM AIR TANZANIA Air Tanzania is looking at recruiting pilots for ab-initio training, where possible sound graduates with the appropriate flying aptitude will be sponsored for pilot training up to commercial pilot license level.. Air Tanzania will start by offering crew...
  10. ruhi

    Ni nani atakuwa wa kwanza kufikia idadi ya magoli 100 UEFA Champ kati ya Messi na C. Ronaldo

    Ni nani kati ya MESSI na CR7 atakua wa kwanza kufikisha magoli 100 UEFA Champion league? je kwa mwinendo huu atakua Messi au CR7? Je wewe unaonaje? Karibuni sana. IDADI YA MAGOLI ADI LEO 24/11/2016. MESSI (95), CR7 (98)
  11. ruhi

    Nafasi za kazi kutoka Brightemonday

    1. Power Sector Program Leads - Electric Utility Reform and Restructuring 2.Power Sector Program Leads - Demand-side Management and Energy Efficiency 3. Power Sector Program Leads - Power Systems Planning & Monitoring 4. Power Sector Program Leads - Private Sector Participation & Electricity...
  12. ruhi

    Wajerumani na majina ya Kitanganyika

    Napenda kujua ni kwa namna gani wajerumani walitumia kuyapa majina haya maeneo ya Tanganyika enzi za ukoloni majina ya kijerumani? German placenames Most place names in German East Africa continued to bear German spellings of the local names, such as Udjidji for Ujiji and Kilima-Ndscharo or...
  13. ruhi

    NAFASI ZA KAZI

    Medical Record Technician II – Muhimbili University of Health and Allied Sciences Health Attendant II – Muhimbili University of Health and Allied Sciences Accountant II – Muhimbili University of Health and Allied Sciences Driver II – Muhimbili University of Health and Allied Sciences Director of...
  14. ruhi

    Rais wetu mpendwa, sikia kilio chetu watumishi.

    Natumaini mmeamka salama wanandugu. Rais wangu mie pia nakuomba uweze kusikia kilio chetu sisi watumishi wa umma na sekta binafsi. Mishahara ya watumishi wako ni mdogo sana ukilinganisha hali halisi ya maisha kwa sasa, bajeti ya mwaka wa fedha 2016/2017 unaonesha amna ongezeko la mshahara...
  15. ruhi

    SUMATRA kulikoni?

    Habari za asubuhi wadau? Kwa wale walioko jikoni uko SUMATRA, kimya kimezidi kuhusu kiuta watu kwenye usaili wa mahojiano baada ya ile ya kuandika. Au ile zuio la Serikali imepiga hodi kote uko? Mwenye kujua naomba anijuze kinachoendelea uko SUMATRA.
  16. ruhi

    SUMATRA wameanza kuita kwenye Usaili

    Kwa wale waliomba kazi SUMATRA walianza kupiga simu Ijumaa kwahiyo usikae mbali na simu usaili inaanza 10/06/2016, nafasi zilitangazwa mwaka Jana mwishoni.
  17. ruhi

    Kuitwa kazini Tume ya Utumishi wa Umma

    Utumishi was Umma na Ajira imetoa majina ya waliopangiwa vituo vya kazi Leo 01/06/2016 Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti yao.
  18. ruhi

    Kuitwa kwenye usaili TBS

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linapenda kuwatangazia waombaji wa nafasi za kazi zilizotangazwa tarehe 23.12.2015 kuwa usaili wa kuandika (Aptitude test) utafanyika tarehe 06.06.2016 hadi 07.06.2016. Usaili utafanyika katika ukumbi wa University of Dar-es-Salaam, Business School; muda ni kama...
  19. ruhi

    Majina ya wanaoitwa kwenye usaili DART - 5/25/2016

    Majina ya wanaoitwa kwenye usaili DART - 5/25/2016
  20. ruhi

    Nafasi kazi ITU headquarters-Geneva

    JOB OPPORTUNITY AT ITU HEADQUARTERS-GENEVA The Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation has received vacancy announcement from the International Telecommunication Union (ITU) inviting qualified Tanzanians to apply for the post of Web Developer. Application details can be found on...
Back
Top Bottom