Search results

  1. ruhi

    Budapest Memorandum: Ulaghai wa kihistoria Warusi waliowafanyia Marekani, Uingereza na Ukraine

    Hakuna nchi nyingine zilizojiunga na NATO zinazopakana na Russia? Kwa namna gani Russia haikufanya jitihada ya kuzithibiti kabla ila inataka kuithibiti Ukraine ambae hajonesha ata dalili ya kuomba uanachama? Wewe kwako unaona kuna logic?
  2. ruhi

    Mlinda mlango wa Iran kuadhibiwa kwa kumkumbatia shabiki mwanamke

    Kumbuka huyo mtu alizaliwa uchi, unawajua waliomwona akiwa uchi bado wanayo taswira ya jinsi alivyo?
  3. ruhi

    CCM inamdhalilisha Rais Samia

    Utaratibu!!!imeandikwa sehemu? Kama mi utaratibu kwanini inatumika nguvu kubwa sana kuwaambia watu wa ccm kuwa watachapisha fomu 1? Acha kutetea ujinga.
  4. ruhi

    Umeelewaje katuni hii Mdau?

    Hao ni wazee wa kupitisha Kikokotoo alafu wanarudi kukipinga then wanachukua pointi 3 ya wananchi wenye njaa ya akili.
  5. ruhi

    Sierra Leone, Kampuni za Umeme hazijalipwa, zakata Umeme, Raia wabaki gizani kwa Siku 7

    Ukishakuwa na nchi ambazo wananchi wake waliopewa dhamana ya kuwatumikia wananchi wake kama viongozi ila wanakuwa na utajiri mfukoni na kuwaacha wananchi wenyewe masikini wa kutupwa. Utashangaa mama Samia ni tajiri kuliko ndugu Biden, inasikitisha sana.
  6. ruhi

    Nilishiriki mapokezi ya ndege boeing 737 - MAX 9

    Kulala kwenye ndege ni adhabu kubwa sana kwenye vitu vya economy...nilisumbuka sana wakati tunatoka Guangzhou to Dar. Kama wameviondoa kama ukivyosema basi kuna shida kubwa sana.
  7. ruhi

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Bado ilikuwa 0:0
  8. ruhi

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Wachukue kiatu cha mfungaji bora wampatie tu Palmer, Nimekumbuka msimu mmoja hivi, mechi ya mwisho ndiyo ilikuwa inaamua bingwa wa Ligi kuu kati ya Chelsea na Man Utd. Chelsea walikuwa na mechi na Wigan...ushindi wowote Chelsea bingwa, penalty ikapatikana then Drogba akaenda akachukua mpira ili...
  9. ruhi

    Vitu vya kuanza navyo kuchochea safari ya kutajirika mapema

    Nakuunga mkono mtoa mada kwenye baadhi ya pointi, ila umetudhalilisha sana sisi matajiri kuwa hatupendi ngono. Hivi wale wasanii na wadada wanaojiita classic wanaliwa na masikini?
  10. ruhi

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Na misimu zote Zina namba 3 na 4 mwishoni...
  11. ruhi

    USD 1.30 billion zimetumika Kwa usiku Jana kuzuia makombora ya Iran

    Mkuu wakati mwingine iteendeni jukwaa hili haki, kwa jinsi ulivyoandika hiyo USD 1.3Bilion iliyotumika inapatikana vipi? Ukiamua kuleta taarifa jaribu kuwa mkweli ili wengine waweze kuokoteza chochote.
  12. ruhi

    Iran yaishambulia Israel kwa makombora

    Kumbe drone zinaonekana kabisa, sasa Israel watashindwaje kuzishambulia au mimi ndiye sielewi.
  13. ruhi

    Makonda naye ametumwa na Rais Samia?

    Hivi Makonda angesema kuwa kuna Mawaziri wanataka kukuwekea Mh Rais sumu kwenye chakula nako ingepigwa chini hadi sasa.
  14. ruhi

    Bado tu Makonda hajasimamishwa kazi kupisha uchunguzi?

    Kwahiyo Makonda akisema kuwa Mh. RAIS, kuna mawaziri wamepanga kukuwekea sumu kwenye Chakula...kauli kama hiyo kikijadiliwa watu watakuwa wanajadili Makonda na siyo madhara ya kauli yake? Mtu mzima kabisa unakenua meno kufurahia maneno ya Mh. Mkuu wa Mkoa wa Arusha, unafikirisha sana mawazo yako.
  15. ruhi

    Video: Wakili Msomi Mwabukusi ana hoja. Haya yalianzia enzi za Kikwete

    Kwa maana hiyo ni kuwa katiba ifutwe? Kwani tofauti na wapinzani hakuna wananchi waliohitaji katiba mpya.
  16. ruhi

    Tundu Lissu ahoji uhalali wa kikatiba wa jina jipya la Tume Huru ya Uchaguzi

    Mwenzio ametaja kifungu na ibara ila wewe unaleta maneno matupu, kweli nchi hii kuna kazi kwelikweli.
  17. ruhi

    Makonda adaiwa kukataa nyumba ye Serikali, inasemekana anaishi Hoteli ya Nyota 5

    Akili za Mtanzania inashangaza sana, utakuja kugombana na upepo, sasa tume huru ya uchaguzi ipo kwa faida ya wananchi na watanzania wote au kwa wapinzani pekee?
  18. ruhi

    Rais Samia asikitika kuona wafanyabiashara wakitumia mbinu kukwepa kulipa kodi

    Tusipoachana na tabia ya kulipa kwa Cash dunia itatushangaa, hakuna sehemu binadamu waliwahi kuwa kama serikali inavyotaka.
  19. ruhi

    Rais Samia asikitika kuona wafanyabiashara wakitumia mbinu kukwepa kulipa kodi

    Mwarobaini ya kukwepa kodi ni kuondoa mfumo wa malipo ya cash kwenye manunuzi, iwekwe kiwango kabisa ya pesa kulipwa cash iwe 30,000 tofauti na hapo malipo yafanyike kwa njia ya digital ili kodi ya serikali inakatwa aotomatikali. Serikali dhaifu kazi kulialia wakati wamepewa mamlaka yote na...
  20. ruhi

    Nchi zenye uchumi imara GDP kubwa Duniani 2024

    Per Capital Income ndiyo habari za mjini, hizi GDP hazina msaada sana kwa wananchi mmojammoja.
Back
Top Bottom