Search results

  1. Utamaduni

    Dalali tapeli 0712-571827 anayeshirikiana na polisi

    Ndugu wana Bodi heshima kwenu. Jamani katika kutafuta nyumba za kupanga tuwe makini sana haza maeneo haya ya Sinza, Mwenge, Kijitonyama, Mbezi Beach, Mikocheni etc. Binafsi na familia yangu tumetapeliwa 4 milioni mwezi huu wa kwanza. Kuna dadali mmoja ambaye ni maarufu kwa jina la DAUDI...
  2. Utamaduni

    Signal za ITV zinatatizo gani?

    Jamani kila ifikapo saa mbili usiku, Satellitite signaling ya ITV zinamekuwa na Scratching sana, hiyo inaendelea hivyo hadi asubuhi then zinarudi kawaida. mimi natumia Dish la tf6, jamaa yangu ana la ft8 wavu nae anakubamba na tatizo hilo. what can I do? Any ITV engineer to help me out...
  3. Utamaduni

    Msaada: Desktop Virus

    Wakuu heshima yenu.... naombeni msaada wenu ili niweze kupata ufumbuzi wa tatizo hili Invisible, shy n wote. Computer ninayotumia hii ya hapa job imeingilia na kitu sumthing like virus katika account ya Administrator ambapo imefuta / au kuondoa all item katika desktop na ime'disable desktop...
  4. Utamaduni

    Nanasi Linapandwa/oteshwaje?

    Wakuu heshima yenu. Naombeni msaada kwa wale wenye kujua tunda hili la nanasi linapandwa au kuoteshwa vipi? maana embe inapandwa mbegu yake (kokwa), chungwa unapanda zile mbegu zake, ndivi najua unapanda machipukia yake yanayozidi kuchipua. lakini sifahamu hili zao la nanasi mbegu yake ni...
  5. Utamaduni

    Ufisadi wa LUKU tanesco

    Kuna taarifa ambazo zinazagaa sana mtaani ambazo nimezipata jana. Kuwa kuna baadhi ya wafanyakazi wa Tanesco wanakula dili na wafanyabiashara kwa kuwauzia umeme nje ya system ya Tanesco. kwa mfano katika siku ya jana LUKU vending Station ziligoma katika maeneo yote ya jijini Dar es Salaam na...
  6. Utamaduni

    Watanzania Eenh... Mimi JK rais Wenu

    Oooh! My God, naona JK anapata kinywaji kwenye kiti kirefu na sisi tuko juu ya mwamba mkuuuubwa tunapata joto ya JIWE...., hata simba akimaliza mfupa wake wa EPA anaweza akatula na sisi pia labda awe ameshiba.Ila mzee wetu angekuwepo wangefilisiwa, badala ya kuwashughulikia tunashughulikia...
Back
Top Bottom