Search results

  1. kamleez gerald

    Uchaguzi 2020 Mbinu za Zitto Kabwe na siasa za Urais (2020)

    ZITO ZUBERI KABWE kwangu mimi ni mwanasiasa Mwenye akili nyingi zilizo kosa uzalendo na badala yake zikajawa na tamaa na upotoshaji. Nimekua nikifuatilia siasa za Zitto toka akiwa CHADEMA mpaka sasa ..leo hii nitatoa UTABIRI WANGU wa KIMAWAZO juu ya alichokipanga kukifanya katika siasa za mwaka...
  2. kamleez gerald

    Mmiliki wa kampuni kwenye sakata la Makinikia si ACACIA, ni Barrick Gold Mining Company

    LENGO NI KUELEWESHANA NA KUONDOA UTATA SIO KUBISHANA NA KUTUKANANA Kwa uelewa wangu Wa sheria za makampuni..kwa swala hili la madini Tanzania ..mmiliki Wa kampuni wa usoni ni ACACIA..lakini mmiliki wa kweli Wa kampuni hii ni BARICK na hata kama swala lingeenda mahakamani mahakama ingelitambua...
  3. kamleez gerald

    Tanzania SGR Moro hadi Dodoma ujenzi rasimi unaanza lini?

    Ni wiki kazaa tangu kusainiwa kwa mkataba Wa ujenzi wa Sgr phase 2 ( awamu ya pili) na waziri Wa ujenzi...je ujenzi utaanza lini?
Back
Top Bottom