Search results

  1. H

    Askari Polisi kutumia silaha za moto za Automatiki (SMG, ASSAULT RIFLES) siyo sahihi, ni silaha za Kivita

    Ukiwa ni mtu ambaye hujawahi kukutana na majambazi wenye SMG na AK47 utatoa ushauri kama huu. Lakini ukikutana na changamoto kubwa ya kukabiliana na jambazi mwenye zana za kisasa na silaha za kivita naamini utatoa ushauri wa kutumia silaha Kali zaidi ya hizi wanazotumia askari polisi za Sasa...
  2. H

    Ombi la kuteuliwa kuwa Kamishna wa Petroli na Gesi

    Ombi lako ni gumu sana kueleweka maana kusoma na kufanyia kazi ni vitu viwili tofauti! Unaweza kusoma lakini kutumia elimu kwa manufaa mapana ya umma ni mtihani mwingine na wasomi wengi kufanyia kazi taaluma waliyosomea ni mtihani mkubwa zaidi zimebaki nadharia tu!! Kupewa Mamlaka kwa Wasomi...
  3. H

    Vodacom wameanza wizi wa hela za M-PESA

    Ushauri angalia statement ndipo uje na malalamiko hapa, huenda simu yako wanatumia wengi na namba ya siri pia wanajua! Huenda kuna mtu wa karibu yako aliyetumia kwa kununua bando au kutuma kwake!! Jiridhishe kuwa watu wako wa karibu hawajatumia hiyo pesa yako!! Unaweza kuja kufunga familia yako...
  4. H

    Kuna mtu anataka kunitapeli naomba msaada

    Kama huna vibali na nyaraka za kuuziana inaonesha nako huna. Wewe utakuwa ni mzembe tu. Tunajifunza kutokana na uzembe ila kwa hili jiandae kisaikolojia maana asilimia kubwa ni kukosa. Jaribio la mwisho ni kwa mama yako. Likifeli huna pa kumpeleka maana huna nyaraka huo utakuwa ni uzembe wako...
  5. H

    Kuna mtu anataka kunitapeli naomba msaada

    Kwa mtazamo wewe ni mzembe kwenye uwekezaji kama ni kweli. Kwa maelezo yako yanatia wasiwasi kama ni kweli. Kama huyo mtu aliwahi fanya biashara na mama yako na hivyo wanafahamiana vizuri, na wew una vielelezo vya kutosha mwambie mama yako amwendee akamdai maana atamlipa ila kwako kukulipa wew...
  6. H

    Nimegundua mchumba wangu ni shoga, nifanyaje?

    Pole sana! Katika mfumo wa maisha kuna changamoto nyingi sana! Moja kubwa ni uadui; Ni vyema kujiridhisha kabla ya kufanya maamuzi! Picha pekee haitoshi kufanya maamuzi sahihi kwenye ulimwengu wa sayansi na technolojia. Kipindi hiki unatakiwa muombe sana Mwenyezimungu akupe subira na uvumilivu...
  7. H

    Nimeanza mwaka natongozwa sana hadi naogopa

    Ni mwaka wa kujipanga ili uolewe na si vinginevyo! Ukiruhusu kutumika ujue unazidi kuchuja na hatimaye utakosa soko! Kama mwaka huu umepata bahati hiyo itendee haki kuliko kuamua kuwapa kwa ujira wa chochote!! Maana ukigawa utauchosha mwili wako!!!
  8. H

    Mwaka mmoja Ikulu, Rais Magufuli afanya makubwa

    Tunamwombea kwa Allah uzima, afya na amani ili aweze kutuletea maendeleo na kurudisha misingi ya haki, wajibu na uadilifu makazini!
  9. H

    Ikiwa tuhuma hizi ni za kweli, basi Waziri Ndalichako anapaswa kujiuzulu haraka iwezekanavyo

    Mtoa mada inaonekana uelewa wako ni mdogo sasa!! Hata ungekuwa wewe ungepigania mwanao apate fursa ya kukopeshwa maana hata matajiri wengine nao watoto wao wanapata mkopo!! Je kati Prof. Ndalichacko na Matajiri wenye biashara zao na watoto wao wanaopata mkopo nani mwenye makosa? Mfumo wa kutoa...
  10. H

    Wizi mpya Bandarini: Makontena 11,884 na Magari 2,019 yapita bila kulipa Ushuru, Polisi waanza Msako

    Hii inachosha inafaa tutafute adhabu mbadala na maana adhabu zilizoko zinawapa fursa wahalifu kufanya wanavyotaka!!! Kwa hali hii tunahitaji adhabu kali zaidi maana inaonesha kuna watu wanaishi maisha ya anasa katika nchi masikini kabisa duniani!!! Maana kama kuna mfanyakazi anaajiri watoto wake...
  11. H

    Mpaka mwaka 2017 watanzania 99.59% watakuwa CCM

    Tuombe uzima mengi yatakaa sawa!!! Tumwombeee mungu kama alivyotutaka maana bila kupata mkuu wa nchi mwenye uchungu na aliyetayari kufa kwa ajili ya wanyonge ni kumshukuru mungu!!! Maana kama hawakulipa toka mwa 2010 au 2013 huoni kuwa walitengeneza mtandao mkubwa wa ufisadi bandarini!!! Je kama...
  12. H

    Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO): Ufafanuzi wa taarifa kuwa hatununui nguzo nchini bali...

    Kwa mwendo kasi wa rais aliyeko madarakani mtakutwa tu bado mmelala na mnaendelea na dhulma zenu kwa wateja wenu!! Mfano:Hivi kumlipisha mtumiaji wa umeme service charge kubwa au kulipia nguzo ya umeme na kisha nguzo hiyo inakuwa sio mali yake inakuwa ya kwenu na kisha kuendelea kuchukua umeme...
  13. H

    Kigogo wa Bandari(TPA), Elia Eliampenda Kimaro afariki kwa presha

    Poleni kwa wafiwa!!! Kuondokewa na mtu unayemtegemea ni mshituko mkubwa sana!!! Tuwape pole na pia tuwafariji kipindi hiki kigumu kwao!!!! Kufa ni haki ya kila mmoja wetu na hakuna atakaye kufa kwa ajili ya mwingine!!! Mafisadi na Matajiri wengi hujisahu kuwa kuna kufa!!!!Kama mtu kaiba mali za...
  14. H

    Bidhaa zaanza kupanda bei Kariakoo

    Acha waongeze watafuatwa huko huko!!!! Wizi mbaya walipe tu yaani simu ya China ni bei ndogo sana ila ikifika kariakoo inauzwa mara tano ya bei ya China!!! Waache wizi wafanye biashara halali kwa faida ya kawaida!!!! Superprofit ndo mwisho wake umeanza!!!
  15. H

    Ufisadi Zanzibar (Corruption in Zanzibar)

    mengine msaidie kuondoa ufisadi kwa mikono yenu rais wa jamhuri hatafanya kila kitu!! Toa taarifa za kiintelijensia ili kurahisisha kukamatwa kwa mafisadi!!!!!
  16. H

    Elections 2015 Dr. Pombe Magufuli, Rais mteule wa Tanzania awamu ya 5

    Kwanza nachukua fursa hii kukupongeza kwa ushindi ulioupta maana umepita katika chujio kali na mapito magumu ila sala na maombi yamekuongoza maana Allah katuamrisha tumwombe msaada wake pale ambapo tunaona tuko katika kipindi kigumu na hata cha hatari pia ili atupe ushindi au atunusuru na...
  17. H

    Tumwombe allah amlinde dhidi ya maadui na amwongoze katika kututoa hapa tulipokwama

    Kila mwenye mapenzi mema na nchi hii bila kujali imani yake, kabila lake au rangi yake lazima tufanye maombi ya kumwombea kiongozi aliyechaguliwa sasa tunategemea atatutoa hapa tulipo na kutupeleka katika hatua nyingine ya maendeleo!! Kiongozi yeyote wa kuchaguliwa duniani Mola pekee yake...
  18. H

    Edward Lowassa aongea na vyombo vya habari, Amesema hatokubali matokeo ya uchaguzi mkuu

    Tunamshukuru mungu kwa uchaguzi kumalizika salama!! Pia katika kuonesha kukomaa kisiasa ni kukubali matokeo na si kuanza kulalamika maana kama haki yake itakuwepo tu! Mungu humpa amtakaye na humnyima amtakaye ila sisi wanadamu si watu wa kushukuru maana watu walifunga na kuomba ndo hivyo maombi...
Back
Top Bottom