Search results

  1. ma2mbo

    G Nako awapongeza WCB Wasafi kwa movement zao

    Mengi yanazungumzwa.. G nako nae katoa ya moyoni. Mwisho wa siku muziki wetu lazima ukue atuwezi baki palepale kila siku eti sababu tukisonga mbele kuna watu watachukia.
  2. ma2mbo

    Ilikuwaje Ali Kiba na Ommy Dimpoz wakatumia location ya Wasafi kwenye video yao?

    Kiba anaamini sana kwenye ushirikina.. Hapo kuna imani fulani za giza na pete yake ya kijani ile. South yote hakuona location ila hapo tu.
  3. ma2mbo

    Diamond fata ushauri huu mapema or else!

    Kupotea kabisa kwa Diamond sio leo ila inabid achukue taadhari hivi vitu vinaanzaga taratibu.
  4. ma2mbo

    Diamond fata ushauri huu mapema or else!

    Na ameitafuta hii kiki muda mrefu hatimaye kipuuzi kabisa wamempa.
  5. ma2mbo

    Diamond fata ushauri huu mapema or else!

    Ommy hawezi kuwa ni innocent ila ametumia gap alilotengeneza Diamond kummaliza Dai. Sababu ukisikiliza malalamiko ya Ommy utaona kuna maswali mengi kuliko majibu... Mfano anasema alikuwa anamkimbia akitaka kwenda nae nje ya nchi... Lakini Nakumbuka video ya Ndagushima walienda kufanya wote...
  6. ma2mbo

    Diamond fata ushauri huu mapema or else!

    Mpaka kufikia Ommy kumtusi mama wa diamond ni sababu Diamond kampa huo ukumbi ndicho wengine alichotuudhi.
  7. ma2mbo

    Diamond fata ushauri huu mapema or else!

    Diamond ndio nembo ya bongo fleva kwa sasa anatakiwa aelewe nafasi yake awa watoto wanaotaka mbeleko awaachie wadogo zake kama Kiba anavyomtumia Dimpoz
  8. ma2mbo

    Diamond fata ushauri huu mapema or else!

    Kwanza nianze kwa kuweka wazi mimi ni die hard fan wa Diamond kutoka siku ya kwanza na Kamwambie yake. Tumekuwa tukitoa sapoti kwa kila hali kwa Diamond ambaye ni msanii wa mfano kwa taifa letu. Ila kinachoendelea sasa mitandaoni kwa kweli sidhani kama kuna shabiki wa Diamond anakifurahia...
  9. ma2mbo

    Raymond ni hatari ngoma ya Sugu ni balaa

    Huyu dogo ana talent kubwa sana. Atafika wengi wasipotalajia.
  10. ma2mbo

    Mtazamo ndio kolabo bora kuwahi kutokea tokea bongo flava ianze

    Mzee wa Busara - Nature ft Inspector Harun ndio collabo kubwa kuwai kutokea kwenye bongofleva.
  11. ma2mbo

    Lowassa kakosea, why now?

    Usuluishi upi huo kamanda? Madai yenu si kuhusu udikteta, je udikteta umekwisha baada ya lowassa kwenda huko?.. Poleni sana makamanda, mtakoma kumjua Mbowe na Lowassa. Huu ni mwanzo tu.
  12. ma2mbo

    Lowassa kakosea, why now?

    Poleni sana Chadema.. Kwa kweli mnatia huruma, mmenasa kwenye tego kuchomoka hamuwezi.
  13. ma2mbo

    Yuko wapi kijana mtanashati January Makamba?

    Makamba hana tatizo lolote na Magufuli. Kaamua tu kupunguza maneno ya watu kwa stahili hii ila anapiga kazi sana wizarani kwake.
  14. ma2mbo

    Yuko wapi kijana mtanashati January Makamba?

    Kama mimi navyodharau nyumbu za chadema.
  15. ma2mbo

    Yuko wapi kijana mtanashati January Makamba?

    Hivi kwa nini wapuuzi wa chadema hawajifunzi kuweka akiba ya maneno?
  16. ma2mbo

    MwanaKJJ IJumaa: Kwanini Ni Vigumu Kuamini "Udikteta" Wakisema CHADEMA?

    Chadema wameturudisha hatua 70 nyuma kwenye harakati. Awa matapeli sijui ata wanapata wapi nguvu ya kumnyooshea kidole Magufuli. Kweli kuna wanadamu awana aibu kabisa.
Back
Top Bottom