Search results

  1. M

    CCM muondoeni mh lusinde livingstone kwenye kampeni arumeru

    watatukana mpaka midomo ichubuke, lakini ukweli ni kuwa Nassari ataapishwa kuwa mbunge
  2. M

    Maendeleo ya afya ya Waziri Mkuu mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa

    wiki moja iliyo.. pita kulikuwa na habari za kulazwa hospitali huko ujerumani kwa mtajwa hapo juu. tunaomba mnaojua habari zake mtuhabarishe maendeleo yake ya afya. mjuavyo maisha ya kiongozi ni kama kioo hivyo lowasa ni kioo pia
  3. M

    Madaktari watinga ikulu

    Nawatakia kila la kheri, angalau akutane na madaktari na wala siyo wazee wa dsm
  4. M

    Hofu yatawala Siyoi Sumari kukatwa na CC-CCM

    Yatima hadhulumiwi kwa kuwa alipatikana kwa rushwa? Na hao waliokosa hiyo nafasi kwa ajili ya chapaa chafu ya lowasa hawkudhulumiwa? Acheni ujinga, huyu mtu kapatikana kwa rushwa inabidi akae kule bungeni kama ndondocha aliyempeleka huko kwa chapaa ya ajabu
  5. M

    Kura za maoni CCM Arumeru kurudiwa

    huyo Milya bado ni kijana mwambieni aache kuwa vuvuzela la wazee uchwara, hata wakijashika madaraka atabaki kuwa vuvuzela
  6. M

    Anne Makinda: Sitogombea tena ubunge 2015

    nimesoma kwa tahadhari taarifa ya Mama Makinda kuhusu kutogombea tena ubunge huko kwake njombe, lakini hakuna mahali popote pale aliposema ataachana na siasa. wengi mwameanza kumpa hongera, lakini ukweli ni kuwa hatagombea tena ubunge wenye maslahi duni bali USPIKA katiba ya nchi yetu inatamka...
Back
Top Bottom