Search results

  1. G

    Mke wangu kuvaa nguo zangu za ndani

    sasa kama unashangaa ngoja akiacha kuvaa zako atavaa za mwanaume mwingine. anaonyesha anakupenda tuu. Pukudu si anakupa freshi?
  2. G

    Nilichoona kwenye nguo za mume wangu! Kuuliza kaniambia fikiri utakachomua kufikiri

    yamkini hakuwa ametoka kwa mwana mke na kwa kuwa hukumkuta kwenye kitendo vumilia. endelea kumpa mapenzi ya kweli. La msingi zaidi jitaidi kumshawishi afanye mapenzi nawe mara nyingi zaidi ili akienda nje awe amechoka. jiongeze ili akitoka nje awe amechoka
  3. G

    Makamu wa Rais Gharib Bilal kutangaza kukihama chama cha Mapinduzi

    Haha mie nasubiri tuu matokeo ya October .hizi nyingine zote mbwe2. Ole weru tukishindwa kuaatoa ccm maaka huu. Miaka 5 ijayo tutajuta.
  4. G

    Nimeona ajabu kwa mke wangu

    Kwani uke uluotoa mimba na amboa haujatoa unatofauti.? we mzalishe watoto unaotaka kwanza. Kumwacha ni hasara nyingine. Ukishamaliza kuzalisha watoto wanaokutosha. Anza kufuatilia. Hata ikitokea mmeachana hutapata hasara kwani ushakuwa na watoto wakutosha. Ukimwacha gafla garama yakuoa ni kubwa...
  5. G

    Ikiwa Lowassa ni Mwizi na Fisadi, Iweje Watu Hawa Wenye Heshima Wamuunge Mkono?

    Kiukweli angekuwa msafi msingepoteza muda kumtetea anafaa .acheni matendo yake yamhukumu kwa wananchi. Tusiendelee kuwapoteza watanzania. Huyu Lowasa hafai hata kuwa mlinzi Ikulu. Na wote wanaomuunga mkono wana maslai binafsi na hawawatakii mema raia wa TZ. Atuambie kwanini anatumia hela nyingi...
  6. G

    Wajumbe Kamati Kuu: Ni Lowassa Pekee Ndiye wa kuibomoa UKAWA!

    watanzania tutakuwa wanafiki na wPumbavu san kama tutamchagua Manywele kuwa raisi. Miaka michache tumemtoa kwa kigezo fisadi kiwembe aliyeshindikana .sasaawe lulu aje awe kiongozi weru. ? Hakika tutakuwa wote mafisadi
  7. G

    James Rugemalila afungua kesi Mahakama Kuu

    Waunhwana nimepata yaarifa amanazo sijaamini .zikidai aliyekiwa mmliki wa BIP Eng. Jamsi Rugemarila amefungua kesi higj xourt akidai fedha seeikali kuhusiana na scandle ua Tegeya Escrow Acc.5 taatiga za kweli tafadhali
  8. G

    CCM yabariki waondoke kunusuru chama Wamo Werema, Tibaijuka, Maswi

    Ila katikahili kama wa Yanzania hatuwatoa hawa CCM BASI. Wengi wetu ni wapumbavu kabisa. Na tuwndelee kuteseka. Sisi waj9nga sana .tuamke pumbavu zetu.
  9. G

    MWIGULU alishindwa nini kuokoa bill.325 ?

    Wote ni wa moja. Ila najigomboa kiaina. Ila wote ni wezi na hela ni zao .kwani dili hiyo sio ya kwanza wameshapiga nyingi
  10. G

    JF Exclusive: CAG Report on IPTL/Tegeta Escrow Account

    Wakuu mbona pesa zilizoibwa ni nyingi .321 alafu majina na kiasi kilichogawiaa ni kidogo.? Pesa nyingine akina nani wame chukua. Maenye majina atupe tafadhali
  11. G

    Nani anataarifa ya uhamisho wa walimu kwa mwezi june 2014

    Uhamisho walimu kea mwezi june tafadhali. Nani anataarifa yoyote.?
  12. G

    Yaliyojiri Kalenga: Uchaguzi wa Ubunge - Machi 16, 2014

    Mwenye matokeo ya Kalenga tafadhali.
  13. G

    Ufoo Saro wa ITV ajeruhiwa kwa risasi, mamake auawa!

    Kwanini ahamishe ugomvi kwa mama mkwe tarajiwa hadi mauti yamkute.? Kuna namna.
  14. G

    Ipo siku Ustaadhi Ilunga atasababisha damu imwagike nchini!

    kama ndio hivi na SERIKALI INAENDELEA KUKAA KIMYA NI BORA TUJIPANGE .TUJUE YA KWAMBA SERIKALI IPO UPANDE WA WANAOUA VIONGOZI WA KIKRISTO
  15. G

    Maumivu makali ya mgongo (back pain) na tiba yake

    Kaka mzizimkavu nashukuru sana ngoja njanze na moja nitakupa majibu.
  16. G

    Maumivu makali ya mgongo (back pain) na tiba yake

    Poleni na kazi wana jf. Naombeni mnisaidie, mke wangu kajifungua mtoto yapata miezi mminne iliyopita. Ila baada yakujifungua mtoto alikuwa analia sana hivyo mama yake alikuwa anakesha mda mwingi akimbembeleza, sasa anatatizo lakuumwa na mgongo sana . Analalamika maumivu makali ya mgongo wakati...
  17. G

    Kunywa maji mengi

    pole kuna shida nyingi, ila sijui tiba lakufanya kama upo MOSHI au ARUSHA naweza kukuelekeza kwa dokta mmoja anakifaa naamini ataweza kukusaidia. jaribu ushauri uliopewa ukishindwa nitumie ujumbe nitakuunganisha nae.
  18. G

    Police ndio wanaoanzisha Vurugu kariakoo.

    tatizo sio UISLAM JAMANI , TATIZO NI ELIMU, HAWA NDUGU ZETU MSIWACHUKIE TUWAELIMISHE TARATIBU, WALIDANGANYWA ETI UKICHOMA QURAN UTAKUWA SIJUI KICHAA MARA MMBWA NA WENGINE NGURUWE, ILA HADI SASA HAWAJAAMINI WALIDANGANYWA. AKILI ZA WANAOCHOMA MAKANISA NA KULETA FUJO AKILI ZAO NI AWA NA WENZAO...
  19. G

    Hawa ndio wabaya wa waislamu na uislamu wenyewe kwa Tanzania...

    Mambo vipi wadau. Kwenye biblia, mithali 4.13 inasema ishike sana elimu.... Nashangaa watu wanaosema tanzania inaongozwa kwa mfumo kristo. Bila sahaka watu hawa walipata ziro au hawakupata fursa ya elimu kabisa. Tunajua raisi, makumu wa raisi bara na visiwani jaji mkuu, nkurugenzi usalama na...
Back
Top Bottom