Search results

  1. Father of All

    Tasnifu ya Shahada ya Umahiri ya Rais Samia inaonesha kufanyiwa na zaidi ya mtu mmoja

    usomi ni kitu kinachopendwa sana hasa na wale wasio na ubavu wa kusoma. Viongozi wetu wa kada zote wanapenda kujibebesha au kubebesha kwa kuzawadiwa vyeo hivyo baada ya kuhonga ili waheshimike bila stahiki. Leo nawaleteeni masters ya mkuu wa kaya muamue wenyewe kama ni somi au kihiyo. Pamoja na...
  2. Father of All

    Kumbe sarafu ya Kenya kanyabwoya!

    Ushuhuda wa gavana wa banki ya Kenya, Kamau Thugge ni kwamba wenzetu wakenya wamekuwa wakituibia kwa kukadiria fedha yao kitapeli na kuonekana na fedha ngumu kwenye ukanda wa Afrika Mashariki wakati ni bomu! Soma ifuatayo tafadhali uone ukweli mchungu. --- Shilling overvalued for long, CBK...
  3. Father of All

    Kuna haja ya Rais kutangaza anaoandamana nao ziarani?

    Kwa wale waliokuwapo wakati wa awamu ya kwanza, pili,na tatu kulikuwa na utaratibu ambao naweza kuuita uwazi. Katika sehemu mojawapo ilikuwa ni kutangaza orodha ya waliokuwa wakiandamana na rais kwenye ziara zake iwe nchini au nje ya nchi. Hii ni kwa sababu rais na watu wake hawasafiri kwa...
  4. Father of All

    Tungoje kuona Chongolo na Nnauye watakavyofanya kazi na Makonda

    Makonda karejeshwa. Atajiondoa kama alivyofanya mwanzoni kwa kudhani anaweza kuwatumia wenzake kufikia malengo yake. Sipati picha watakavyofanya kazi na chawa wenzake kama vile Daniel Chongolo ambaye sasa ni bosi wake na Nape Nnauye aliyemdhalilisha wazi wazi na kumfukuzisha kazi kwa aibu...
  5. Father of All

    Kwanini wazungu wanapenda sana Waisrael na kuchukia sana waarabu?

    Sikupenda kujiingiza kwenye mjadala juu ya ugaidi na mauaji ya kimbari vinavyotokea Gaza, ila kinachoendelea kinatisha. Sikupenda kwa sababu Waafrika yanapotukuta haya, huwa wenzetu hawajali ukiachia mbali kutubagua tunapokwenda kwao ingawa hatuwabagui wajapo kwetu. Sijui kwanini wazungu...
  6. Father of All

    Yuko wapi Dkt. Salim Ahmed Salim?

    Hivi karibuni, tulishuhudia kuzinduliwa kwa tovuti ya kazi za Dkt. Salim Ahmed Salim. Uzinduzi huu ulihudhuriwa na vigogo mbali mbali bila kuonekana kwa mhusika. Kunani? Yuko wapi na katika hali gani? Nini kinafichwa kuhusiana na mhusika. Dr Salim ni public figure. Kuna haja gani ya kumficha...
  7. Father of All

    Kumbe mataifa yanayokalia wengine nayo yanakaliwa na kijipande kidogo cha ardhi kiitwacho Israel!

    Kwa waliofuatilia mgogoro wa Israel na Palestina na namna mataifa koloni na makubwa yanavyojipendekeza na kujivua nguo, bila shaka kuna siri ambayo dunia inapaswa kuifanyia kazi. Ni kama wanakwenda Israel kuonyesha nadhiri zao kama wanaogopa kitu fulani. Baya zaidi, hata waarabu amabao ndugu...
  8. Father of All

    Ikiwa hawa watakuwa Wagombea Urais wa Tanzania utamchagua nani?

    Katika kuwaza kwangu, nilijiwa na wazo la kuwapambanisha wapendwa wafuatao ambao kimsingi ni viongozi wetu mashuhuri na wastahika. Nashauri chama cha maulaji kiwapambanishe wafuatao kwenye kinyang'anyiro cha Urais kwa sababu kubwa kuu; mbali na kuwa vijana, wasomi, viongozi wenye sifa zote...
  9. Father of All

    Kwanini Urusi, China na India wameamua kuwa watazamaji mgogoro wa mashariki ya kati?

    Japo kinachoendelea kinaweza kuonekana kama tatizo la mashariki ya kati, ni tatizo la dunia. Kwanini Ukraine imegeuzwa na nchi za magharibi tatizo la dunia lakini si mashariki ya kati? Je, ni kwanini mataifa yanayoonekana kuwa na nguvu yameamua kukaa pembeni? Je yanangoja marekani ishindwe...
  10. Father of All

    Marekani inafanya uharibifu mwingine Afghanistan na Iraq kwa faida ya nani?

    Kwa namna Marekani ilivyoonyesha upendeleo wa dhahiri, naweza kusema inatengeneza uharibifu mwingine sijui kwa faida gani! Je, hali hii inaiweka dunia kwenye wakati gani? Je, hii ni mbinu ya Marekani kuendelea kuzimiliki nchi za Mashariki ya Kati au kiburi tu? Je, Marekani inatawaliwa na...
  11. Father of All

    Afrika iwafundishe Mashariki ya Kati utu, waachane na miungu yao ya uharibifu

    Kwa hali inavyoendelea huko Mashariki ya Kati hata Ukraine, kuna kitu kinakosekana. Nadhani wenzetu kuanzia Wazungu, Waarabu na Wahindi wana kasoro moja. Hawana utu bali ubaguzi, ubinafsi, ufahari, na ukatili. Rejea mfano, Wazungu walivyotutawala, kutuibia, na kutupeleka utuwani au...
  12. Father of All

    Je, mwanzo wa mwisho wa Marekani umewadia?

    Historia inaonyesha kuwa madola koloni yalipokaribia kudondoka, yaliingia vitani. Kadhalika Marekani iko kwenye kadhia hii. Imekuwa ikisaidia vita Ukraine na sasa Mashariki ya Kati. Inamwaga mapesa na silaha ikidhani itashinda. Je, huu siyo mwanzo wa mwisho wa Marekani?
  13. Father of All

    Kwanini Rais Samia na chawa wake hawajifunzi toka kwa Hayati Magufuli?

    Kama kuna mtu tutamkumbuka kwa kuanzisha sera za kuabudia na kumsifia rais si mwingine bali Mwendazake. Alitegeneza kile ambacho kiingereza huitwa cult sina kiswahili chake. Alisifiwa hadi kuitwa Mungu tena na profesa aliyejisifu usomi sana japo alikuwa kihiyo wa kawaida. Samia naye hakubaki...
  14. Father of All

    Kwa mtu mweusi alivyodanganywa, kudhalilishwa na kubaguliwa kweli bado anahitaji ukristo na uislam au utaahira wake?

    Wamisionari walitupeleleza na kupasisha habari kwa wakoloni waliotutawala na kutupeleka utumwani, Walinyakuwa ardhi yetu kwa kubadilisha na biblia, Walitupora majina yetu. Walitukana mila zetu na kuziita za kishenzi wakati wao ndiyo walioleta kila aina ya ushenzi kuanzia ubaguzi na usenge...
  15. Father of All

    Rais anapolalamika wananchi tusemeje?

    https://www.youtube.com/watch?v=gU1TYtFaOXM Japo amesifiwa sana kuwa msikivu, sijui kama ni kweli. Amesifiwa ana kifua, kweli anacho kifua kama cha wengine lakini si kifua cha chuma kama chawa na mashabiki zake wanavyotaka tuamini. Je yeye ni kama jogoo au tetea na anatetea nani na nini tena...
  16. Father of All

    Mama UZA UZA: Nyumbani tuna kilio, msiba umetufika

    Nyumbani tuna kilio, msiba umetufika, Twahaha kupiga mbio, jawabu tunalisaka, Tumepatwa na kilio, kilozungukwa na shaka, Mama yetu uza uza, mbona kaacha kilio. Jama sie wakulima, watoto wa Mlamali, Kwa kila tunachochuma, ghalani huenda fuli, Hata tunavyovilima, au kuhemea mbali, Huvitunza...
  17. Father of All

    Je, uwekezaji unaifanya Tanzania koloni jipya la kujitakia?

    Wanangu mliopo humu hamjambo? Leo nimesoma habari kuwa Muigizaji wa kihindi Sanjay Dutt atapewa ubalozi wa heshima ili kuitangaza Tanzania India. Kilichonishangaza ni ile hali ya Dutt mwenyewe kusema kuwa amekuwa akija Tanzania kila mwaka lakini hajawahi kuwa na hamu ya kuitangaza kama walivyo...
  18. Father of All

    Je, uteuzi wa Biteko ni mwanzo wa mwisho wa Majaliwa?

    Kwa wanaojua kuwa cheo cha naibu waziri mkuu hakimo kwenye katiba yetu, wanahoji kunani ikulu hadi inavunja katiba? Je rais amemteua huyu mwanangu ili kumuandaa Majaliwa kuachia ngazi na Biteko kuchukua mikoba? Je anamuandalia mkwe wake Mchengerwa barabara ya kuwa waziri mkuu? Je, imekuwaje...
  19. Father of All

    Salamu kwa chawa na mfugaji wao je wewe unawashauri nini?

    Nimeichota sehemu kwenye forum ya wakongwe fulani na jamaa mmoja katoa hii kali. Uchawa ni uchawa na ni mbaya hata kama unavaliwa na profesa au ombaomba. Hatuwezi kuendekeza uchawa kwa kuuza nchi yetu, mali zake, na watu wake. Never. It can't be us. Japo ni chaguo la mtu kuwa chawa na kuacha...
  20. Father of All

    Kama tungetakiwa tupige kura juu ya mkataba wa bandari

    Wanangu wapendwa, Je kama tungetakiwa wabongo tupige kura kupitisha au kuupiga chini mkataba wa bandari, wapi ungeeelekeza kura yako? Kama itawafurahisha hasa ikizingatiwa kuwa inatoka kwa baba yeni, pigeni kura kuonyesha nini kifanyike. Maaskofu wa dhehebu moja linalosifika kwa ubakaji na...
Back
Top Bottom