Unajidai una upendo sana na raia. Wee kale chanjo ambaye hataki achana nae. Yaani watu wale wale waliotuaminisha haifai sasa hivi mnatuambia inafaa halafu mnataka tuawaamini tuu hivyo.
Kwa mawazo hayo kijana kama huyo hawezi kuwa na saving account wala wazo la kufungua biashara yake. Ataishia kuajiriwa na kutegemea mshahara peke yake. So sad..
Too bad wanadiscourage Ruge kuchangiwa hela ya matibabu ndio hao hao walikuwa wanatukana Bunge na Jiwe kuhusu kuzuia wabunge wa ccm kumchangia Mh Tundu Lissu.
Acheni unafiki na mawazo ya kimaskini kwamba mwenye uwezo hawezi hitaji msaada.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.