Search results

  1. HOPECOMFORT

    Huenda Christina Shusho amechanganyikiwa au amelogwa?

    Ni bora angeendelea kukaa kimya.
  2. HOPECOMFORT

    Karibuni kwa ushauri

    Anampenda lkn anatoa siri zake nje!!! Muda utaamua Kama kutakuwa na ndoa au madoa.
  3. HOPECOMFORT

    Shikamoo biashara

    Ni umri gani sahihi wa kuanza biashara mkuu.?
  4. HOPECOMFORT

    Rais Samia awekwe kwenye fedha, tuache wivu na chuki

    Hee mzee wa travolta ndo umeandika hivyo??!! Ungeficha aibu ndogo ndogo kama hizi kwa fake id....
  5. HOPECOMFORT

    Mwanamke atakayepata Marks kuanzia 75% anaweza kuwa Mke wangu

    Tunako elekea ni kazi sana kuliko kazi yenyewe
  6. HOPECOMFORT

    Shemeji yenu kaanza timbwili za Umama Kijacho mapema sana wadau. Hivi ni kwanini?

    Kampata mnyonge wake acha adeke...wengine tulikuwa tukitamani chips za kununua unashangaa mtu kaja na fuko la viazi na trei la mayai ....
  7. HOPECOMFORT

    Kosa kubwa linalofanyika kwenye uchumba linalopelekea ndoa nyingi kuwa na migogoro sugu

    Mwanamke kuolewa ni huruma na fadhila kwako ee!!! Nayeye je kakupa msimamo gani?!?
  8. HOPECOMFORT

    Rais Samia Suluhu kwenye hili la kuruhusu maandamano anahitaji sana pongezi

    Mmmh 🚮🚮🚮🚮 ndo tatokaje hiyo!!?
  9. HOPECOMFORT

    Nahisi nimenyewa, Mambo yangu yote hayaendi

    Mkuu kwa ufupi tu..mwanzo ulikuwa unatumia njia gani na kufanikiwa na sasa umebadili nini mpaka ukapatwa na hali hiyo?
  10. HOPECOMFORT

    Nahisi nimenyewa, Mambo yangu yote hayaendi

    Kwann usinitibu nikiwa bado sijaukojoa? Si upo mwilini mwangu? Kwann usizuie baya lisinipate nikiwa bado sijaukojoa..kwann mpaka niogee au kunywa tena!!
  11. HOPECOMFORT

    Hizi tuhuma za TB Joshua kama ni kweli basi 2015 Kwenye Uchaguzi Mkuu CHADEMA tulipigwa na Kitu kizito!

    Kuwa kweli au si tutathibitisha vipi angali mwenyewe ni marehemu....na kutoka na taarifa sasa itasaidia nini kama walitendewa na bado wakakaa kimya,? Watapata haki gani kwasasa
  12. HOPECOMFORT

    Chakula kwa siku Tsh 30,000

    Sijui Kati yangu na wewe nani yupo serious ... Nilitaka tu kuelewa kiasi hicho kwa familia ya mtoa mada... Sasa ulipo ingiza yako nikaelewa kama nilivyo jb.
  13. HOPECOMFORT

    Chakula kwa siku Tsh 30,000

    Basi tuseme mnapenda nyama..na familia ya ndugu yetu hii ina uwezo kula na kusaza
  14. HOPECOMFORT

    Chakula kwa siku Tsh 30,000

    Naona kawwaida..labda kwakuwa ni nyumbani.
  15. HOPECOMFORT

    Chakula kwa siku Tsh 30,000

    Arusha!? Kuna ugumu gani...
  16. HOPECOMFORT

    Chakula kwa siku Tsh 30,000

    Watu wawili nyama kilo?mchele kg 2!!!
Back
Top Bottom