Search results

  1. E

    Naipenda RAV4 (1996)

    Heshima zenu wadau. Napenda RAV4 1996 model na Mungu akipenda nitaagiza. Naombeni ushauri kwa waliotumia kama ni gari zuri au la!
  2. E

    WanaJF wenye uzoefu na mahusiano/ndoa nisaidieni tafadhali

    Ni washikaji, tumeivana hatufichani kitu
  3. E

    WanaJF wenye uzoefu na mahusiano/ndoa nisaidieni tafadhali

    Mimi ni mwanaume, nina rafiki yangu wa kiume tunayependana sana kwani tumetoka naye mbali katika maisha kwa ujumla. Rafiki yangu huyu alitokea kumpenda mwanamke mmoja miaka mitano iliyopita akamuomba urafiki akakubali, waliendelea na urafiki wao wakakutana kimwili hadi wakampata mtoto wa kiume...
  4. E

    Zawadi ya upanga aliyopewa Rais Kikwete na sultan wa Oman ina maana kubwa!

    2015 tumchague mkrito alafu atembelee Oman tuone atapewa zawadi gani.
  5. E

    Mama wa Taifa Hili ni Nani?

    Mke wa Baba wa Taifa hili
  6. E

    Siku hizi watu wabishi kwenye kuomba kazi

    Na kwa jinsi alivyoandika kwa hasira, huyu atakuwa ni KIJANA.
  7. E

    Siku hizi watu wabishi kwenye kuomba kazi

    Yeye angefanya nini wakati kazi hazipatikani kirahisi na anategemewa?
  8. E

    Siku hizi watu wabishi kwenye kuomba kazi

    Yeye angefanya nini wakati kazi hazipatikani kirahisi na anategemewa?
  9. E

    Sendeka na Pinda wateta Bungeni.

    Inawezekana......
Back
Top Bottom