Search results

  1. M

    Mto unaoishia kwenye shimo Inyala Mbeya

    Nikweli huo mto haujulikani unapoibuka? Kama ndio hivyo hawa ma geologist wetu wanafanya kazi gani
  2. M

    Posho za wabunge

    Huu niwakati wavitendo watz tumekua shamba labibi kwawageni lakini sasa mpaka wenyewe kwawenyewe tunanyonyana kama kupe tena live, how come mtu anapata mshahara wamtu wa mwezi kwasiku halafu anasema maisha magumu nasisis tusemeje? Politics now is a bizz na inalipa vibaya
  3. M

    Mwone adui yako ni ccm

    Wewe kada unaposema ssm unamaanisha nini? Kwani taasisi inaundwa na miti si watu, sisiem nimaforoso matupu nandiyo imekufanya uwe namawazo duni, hiki chama kimedumaza mawazo na uchumi wetu tz ni nchi iliyotegeshwa kwenye utajiri lkn chaajabu 50yrs sasa bado tunasaga lumba, chamsingi nikuinyofoa...
  4. M

    UDA yanunua mabasi mapya 30

    Hizo gari ni outdated watu sasahivi tunataka huduma bora sio hiyo mitata, kunamchangiaji alitaja enzi za ikalus hizi gari zilikua standard enzi zile nauli dala, g/mboto-posta ni 20min tu ushafika hakuna foleni, sasahivi mautumbo matupu
  5. M

    Mayai feki yameingia Tanzania

    Tz ni jalala la dunia, simu feki matokeo ya uchaguzi feki dawa feki viongozi feki evthing is fek we all suffer from fek d'ses, am sory this msg is fek
  6. M

    Kauli tata za Spika Anne Makinda

    Anyooshe mikono juu, abwage manyanga sio lazima kumaliza round wakati inaonekana wazi umeelemewa
Back
Top Bottom