Search results

  1. mchonga

    Usafiri wa Arusha

    Kutoka Dar es Salaam
  2. mchonga

    Usafiri wa Arusha

    Nilikuwa naomba kujua Bei ya usafiri kwa Bus za Luxury kwenda Arusha ni kiasi gani? Kwenda na Kurudi
  3. mchonga

    Msaada: App ya kubadilisha link ya youtube au instagram to normal video

    Wakuu nilikuwa naomba msaada wa mtu anayejua App ya kubadilisha link ya YouTube Au Instagram to normal video. Nilimepata baadhi Ila ni Android. Asanteni
  4. mchonga

    Battery Cages

    Asante sana ndugu yangu Ngoja niwajaribu
  5. mchonga

    Battery Cages

    Wakuu nawasalimu!! Nilikuwa naomba kama kuna mtu anajua pa kuweza kununua Battery Cages Za kuku wa mayai Na Bei zake!! Au kama kuna uwezekano nipate hata contact tu kazi ya kuwasiliana nitafanya mwenyewe Natanguliza Shukurani
  6. mchonga

    Bei ya unit moja ya maji kwa Dar es Salaam

    Wakuu nilikuwa naomba kujua kuwa Bei ya unit moja ya maji kwa Dar es Salaam ni kiasi gani? DAWASCO Natanguliza shukurani nyingi
  7. mchonga

    Kuku wa Mayan

    Ndugu zangu, Za leo, nilikuwa naomba kujua nahitaji kiasi gani kwa gharama Za Sasa nikiwa tayari na Banda langu la kufugia kuku 500 Wa Mayai! Natanguliza shukurani
  8. mchonga

    Ni kampuni gani nzuri kwa Wi-fi ya nyumbani

    Thanks Bro kwa ushauri Godbless you
  9. mchonga

    Ni kampuni gani nzuri kwa Wi-fi ya nyumbani

    Wataalamu Nilikuwa napenda kujua ni kampuni gani naweza kupata huduma ya Wi-fi nyumbani kwa gharama nafuu!! Na kwa matumizi ya mtu mmoja au wawili!! If possible niitumie ktk Smart Tv. Asanteni
  10. mchonga

    Natafuta Wateja wa Pilipili Hoho

    Hats madume yaps Kama utayataka
  11. mchonga

    Natafuta Wateja wa Pilipili Hoho

    Nielekeze nitakuletea
  12. mchonga

    Mzee wa miaka 80 anataka kuniuzia kiwanja, sheria ya ardhi inasemaje?

    Wadau wa sheria, nilikuwa nauliza, kuna Mzee mmoja 80 yrs Old alikuwa anataka kuniuzia viwanja vyake viwili vilivyopimwa kabisa! Nilikuwa napenda kujua anaweza kuniuzia bila ya kuhusisha watoto wake? Watoto ni watu wazima late 50’s. Haitaweza kuniletea matatizo huko mbele!! Issue ni Umri wake...
  13. mchonga

    Natafuta Wateja wa Pilipili Hoho

  14. mchonga

    Natafuta hizi Trays

    Ndugu zangu nilikuwa natafuta hizi trays kwa hapa Dar naweza kuzipata wapi Na Bei Tafadhali
  15. mchonga

    Jifunze kilimo cha nyanya

    Wataalamu nimepatwa na tatizo ktk nyanya zangu, hasa majani ya chini
  16. mchonga

    Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    Kwa Kariakoo naweza kupata wapi mbegu Za tikiti Original Duka gani!
Back
Top Bottom