Search results

  1. luhala

    Is there Ebola in Tanzania?

    There's a trending tweet that on the presence of one confirmed Ebola case in Bukoba. Can authoritative members within our JF authenticate this information? " A tweet from one marwaj7: reads"A confirmed Ebola patient is quarantined at Mugana Hosp in Kagera region. Gov.Must act to contain...
  2. luhala

    Bravo Police Kibondo - Nimeshuhudia kwa macho yangu

    Ni mara ngapi tumesoma habari za kuwalaumu Polisi kwa makosa mbalimbali kuanzia ya kudai rushwa, ukatili na kutowatendea wananchi haki? Jibu ni mara nyingi. Hii ndiyo sababu iliyonifanya leo kujitokeza hadharani kusema pia jambo jema nililolishuhudia kwa macho yangu ili kuweka uwiano kwamba...
  3. luhala

    Kumekucha:Wananchi wazinduka kuikabili Boko Haram

    Kuna taarifa kwamba wanajeshi wa Nigeria sasa wanawastukia makamanda wao wanaoshukiwa kuwa na uswahiba na Boko Haram na kumkosakosa mmoja wa makamanda wanafiki. Wananchi pia wameanzisha vikundi vyao vya kujihami dhidi ya majambazi hawa. Habari zaidi zinasema wananchi wa vijiji vitatu hivi...
  4. luhala

    Ukimya huu hauna walakini?

    Wadau sasa ni karibia wiki moja tokea shambulio la bomu kule Arusha, hadi sasa tumetajiwa jina la mtu mmoja tu kati ya watu kadhaa walioshikwa kuhojiwa, wasiwasi wangu ni isije ikawa hawa askari wetu wenye 'weledi' wakaja kuibuka na nadharia itakayovuruga kabisa ushahidi wa waliohusika na mwisho...
  5. luhala

    CHADEMA wawe makini zaidi na hujuma za CCM

    Kadiri 2015 inavyosogea CHADEMA inazidi kusakamwa na tuhuma toka kwa wasioitakia heri kwa tuhuma hizi au zile zikiwemo za ukaskazini, migogoro ya ndani na kuhusishwa na ukristo na hivi karibuni wimbi la wanaojitangaza kuwa watagombea urais kwa tiketi ya chama hicho. Matukio haya; liliwepo lile...
  6. luhala

    Makala hii katika Tanzania Daima imenivutia mno

    Katika gazeti la jana la Tanzania Daima kulikuwa na makala hii ya Nkwazi Mhango iliyonisisimua na kunivutia sana. Mimi niko mbali na Dsm na husoma makala kwa njia ya mtandao. Kwa faida ya wengi ambao hawakubahatika kulipata gazeti hili jana naweka makala hii ili nao waisome na ikibidi wachangie...
Back
Top Bottom