Search results

  1. maege

    Urgently needed. Damu Group O-

    Taarifa fupi ya mgonjwa anayehitaji damu kundi O- leo 28/10/2019. Huyu ni mkazi wa Mara aliyafanyiwa uhamisho kuja hospitali ya rufani (Bugando). Anasumbuliwa na figo pia anatakiwa kufanyiwa upasuaji ila kabla ya hapo anahitaji drip nne za damu (group O-) Baada ya kutuma tangazo hilo sehemu...
  2. maege

    Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

    Nina 28 nimebakiza 3yrs nistafu hii kazi nikajiajiri. Nishaanzisha miradi miwili inasimamiwa nani na nilowaajili ila inanipa zaidi ya mshaara wangu. Kwenye hili swala nimeheshimu mawazo yangu against all.
  3. maege

    UDSM mnatia aibu, kwa elimu hii mnayoitoa hili taifa kuja kugundua hata toothpick haiwezekani..

    Ngoja nikuache tu, Ila kama nilisoma na wewe udsm tena Bcom 2011 na argument ability yako ndio hii. Kwaheri
  4. maege

    UDSM mnatia aibu, kwa elimu hii mnayoitoa hili taifa kuja kugundua hata toothpick haiwezekani..

    sijui ni kaka au ni dada ila unaongea pumba sana. nani kwakwambia cream za taifa zinakwenda udsm? haujui hizo ni products za selection za TCU? Maprof wa udsm wanafundisha how to present? na huyo anayesimamia hiyo presantation unauhakika gani kuwa ni prof??? kuna ma TA wengi na kidegree kimoja na...
  5. maege

    UDSM mnatia aibu, kwa elimu hii mnayoitoa hili taifa kuja kugundua hata toothpick haiwezekani..

    kwani aliyetoa mada na kukishambulia chuo cha UDSM direct hakufikiria kuwa hili tatizo lipo vyuo vyote na mfumo wote wa elimu ni shida?????????
  6. maege

    Kwa waliowahi kufungua akaunti za watoto benki

    nbc chanua akaunt iko poa sana
  7. maege

    Dodoma: Tundu Lissu agoma kutoka nje ya Mahakama akihofia Polisi, wamshauri atoke hakamatwi..

    I've decided to give him the benefit of my doubts.
  8. maege

    Let's share: Uliwahi kusaidiwa na mtu usiyemfahamu kabla (msamaria mwema)? Kipi kilitokea?

    Nilisha saidiwa nauli na teja /kibaka pale kituo cha darajani nyerere road, nikiwa chalii wa form 3, usiku wa saa 3 nilikosa usafiri na atanisaidia kinivusha hadi karume Kutafuta magari ya buguruni
  9. maege

    CRDB acheni kuwasumbua wateja wenu bila sababu za msingi

    CRDB wameanza lini kutoa mkopo kwa wafanyakazi???? si walisimama since last yr????? nenda NBC nimechukua 7,900,000/= juzi tu
  10. maege

    Tatizo la mtandao wa Halotel

    :D:D:D:D:D:D
  11. maege

    NBC bank yatoa gawio la 1.1bil kwa serikali ya Tanzania

    Jana nilikua nafuatilia mubashara hafla ya kutimiza miaka 50 ya uanzishwaji wa benki ya NBC, ukweli natoa pongezi za dhati kwa kufikia umri huo wa mtu mzima. Ushauri wangu ni kuendelea kufanya mambo yenu kama mliouanzisha mfumo wa kibenki hapa Tanzania. lililonigusa zaidi ni swala lenu la...
  12. maege

    Muda wa kujitegemea umefika kwa wale wa 1980s

    kwani kujitegenea lazima uoe???? mbona unajitetea bro ondoka kwenye ugali wa shikamoo
  13. maege

    Wakuu, njoo tujielimishe kuhusu hisa za Vodacom

    Nenda tawi lolote la NBC bank karibu nawe unanunua na kufunguliwa account ya DSE
  14. maege

    Wakuu, njoo tujielimishe kuhusu hisa za Vodacom

    wanaouza kwa benk ni NBC tu
  15. maege

    Ney wa Mitego atoboa na hit song yake kwenye wakati mgumu wa kiki za kisiasa (Free Nation)

    uhuru wa kuongea kwenye hii nchi bado upo?????
Back
Top Bottom