Search results

  1. danmarc

    Ni wapi naweza pata usafiri wa fuso za kubeba mizigo yangu kutoka Singida hadi Mwanza, baada ya kuhamishwa kikazi

    Habari nimehamishwa KIKAZI kutoka mkoa wa singida kwenda mwanza , na ninauhitaj kuhama na vitu vyangu vyote kama meza ,vitanda ,sofa , TV ,friji NK , Naomba kujua Kwa wenyeji wa singida Mjini wapi naweza nikapata ma FUSO yatakayonibebea hivi vitu vyote Kwa pamoja kutoka hapo singida Hadi mwanza
  2. danmarc

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Je zinakuwa Curved au ??? N'a vp bei ya inch 65 TU7000
  3. danmarc

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Samsung inch 65 model TU8300 unazo??
  4. danmarc

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Mkuu abdulwaa Mkuu abdulwaahid naomba kujua gharama za tv +usafiri wa kutuma hizi tv mpaka singida (nione ipi nitaimudu) 1. TCL 55’ uhd 4k smart(android) 2. LG 55’ inch nano cell 3 LG smart 55’ ambayo si nanocell
  5. danmarc

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Tcl 4k uhd 55 inch ulizonazo zinatumia android OS? Na pia naomba unitajie model yake
  6. danmarc

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Mkuu hapo uko singida mjini ,nina maswali kidogo kuhusu huo mkoa
  7. danmarc

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Tcl zenye soundbar kwa chini kama hii kwny picha hamna
  8. danmarc

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Tcl 55" 4K UHD bei gani???
  9. danmarc

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Hamna mtu anayeuza iphone 7 plus humu used
  10. danmarc

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    TCL SMART TV (ANDROID ) INCH 32 bei laki 350 storage 4gb ,hdmi support, usb ,bluetooth ,wifi, chrome cast etc iko vizuri (box ,stand ,vyote vipo) loction : boko / bunju simu : 0625875487
  11. danmarc

    TCL android smart TV inch 32 kwa laki 3 na 70 tu (370,000)

    TCL android TV inch 32 kwa laki 3 na 70 tu (370,000) Netflix,Bluetooth,google play store ,WiFi Storage 4GB, Location: Boko Bunju daresalaam Simu : 0625875487
  12. danmarc

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    TCL android TV inch 32 kwa laki 3 na 70 tu (370,000) Location : boko bunju daresalaam Simu : 0625875487
  13. danmarc

    Tcl smart TV (Android tv) inch 32 Bei 420,000 tu

    haina tatizo lolote na ni bado mpya
  14. danmarc

    Tcl smart TV (Android tv) inch 32 Bei 420,000 tu

    haina tatizo lolote na ni bado mpya
  15. danmarc

    Tcl smart TV (Android tv) inch 32 Bei 420,000 tu

    mkuu hata ambazo sio smart haziendi kwa hiyo bei
  16. danmarc

    Tcl smart TV (Android tv) inch 32 Bei 420,000 tu

    Ni tv mpya kabisa imetumika miez miwili tu ina Wifi,bluetooth ,Chromecast ,play store unaweza download app mbali mbali za Android kama whatsap instagram n.k HDMI port ,USB , iko full boxed Na vifaa vyote muhimu BEI MAELEWANO KIDOGO RUKSA Mawasiliano ; 0620427098...
  17. danmarc

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Tcl smart TV (Android) inch 32 Bei 420,000 tu ni mpya ina muda wa miez miwili tu iko full boxed contact 0620427098 Na 0744879704 Location ; boko bunju daresalaam
  18. danmarc

    startimes decoder(king'amuzi) bei 40,000 fixed

    limenunuliwa lakini bado lipo kwangu alyelinunua hajalichkua bado sidhani kama nimekosea kuu
  19. danmarc

    startimes decoder(king'amuzi) bei 40,000 fixed

    lipo ila kuna mtu alishalinunua
Back
Top Bottom