Search results

  1. U

    Kwanini watumishi wengi wa TANAPA ni wachaga/sana majina ya kichaga/mkoa wa Kilimanjaro?

    hebu fuatalilia na sekta za madini alafu uje na mrejesho. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. U

    Tetesi: Mamlaka za juu zimetengua utenguaji

    Hizi ndo zile essay zinazofanya watu waone kazi ya ulimu kua wito.....full ukungu. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. U

    Inaumiza sana: Dada kaolewa bila mahari, yaani kizembe tu

    Ambatanisha picha plzz Sent using Jamii Forums mobile app
  4. U

    Msaada: Tumepoteza kazi baada ya kudai haki zetu

    Kaka hapo wachawi wenu ni hao wachache waliowasaliti,mnapodai haki hakikisheni mpo pamoja wote. NB:Kuna haki zingine kwenye makampuni sio za kushupalia maana hata kampuni zenyewe nyingi saivi zina run under projected profit au loss kbsa. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. U

    Ana maji mengi sana, afanyeje yapungue?

    [emoji13] [emoji13] [emoji13] jiandae kunyweshwa sumu
  6. U

    Yusuf Manji kuhamishia biashara zake zote nchini Zambia

    Siku na ww ukianza biashara ndi utajua umuhimu wa makando kando,kodi zenyeww ndo hizo zinaenda kununua madiwan.
  7. U

    Hatari ya kulizwa? Acacia waanza kufungasha kiana, wauza mgodi wake wa South Houndé nchini Burkina Faso

    Ukijua kodi ni matokeo ya kazi na sio kodi kua kazi unakua na akili kubwazz
  8. U

    Biashara ya Tigopesa inanifilisi

    1.Nakubaliana na ww hii ni biashara yenye risk kuubwa. 2.Biashara hii inaweza kua na faida kubwa au ndogo kulingana na eneo ulilopo,idadi ya miamala na mtaji wako.(Hii ni biashara ya commision,the more u transcat the more u r commisioned) 3.Sio kweli ili usipate hasara lazima uwe mtu wa kwenye...
  9. U

    Watumishi wa umma sasa kwisha

    Excellent , binafsi namuunga mkono mkuly
  10. U

    Hivi ni lazima mtu anayesaidiwa maisha awe loyal kwa huyo aliyempa huo msaada

    Jiulize makampuni kama USAID yanafanya nn allover Africa supporting big ptojects? Kiuhalisia msaada ni sehemu ya mtu/nchi kuji-strengthen na kuimarisha loyalt from others. Kwa ushauri wangu huna budi kua loyal kwa huyo mtu aliekupa msaada whether kinafk au la vinginevyo uhakikishe umejipanga...
  11. U

    Kampuni ya BAKHRESA ione haya kwa Mzee Majuto

    Corporate social responsibility....not Corporate individual responsibility.
  12. U

    UTATA: Fedha za mtu aliyekufa zilizopo kwenye benki au simu hupotelea wapi?

    Wabongo kwa lawama, kila kitu kiko under control.....niliona jamaa yangu akipewa laki 5 za marehemu. Makampuni yote yameainishiwa taratibu za kufuata pindi mteja wao anapofariki(BOT)
  13. U

    Changamoto za mfumo Mpya wa Manunuzi ya LUKU kwa Government Electronic Payment Gateways (Ge-PG)

    Biashara ili iwe credible sharti iwe available anywhere n anytime,kwa kuzingatia logistics,risks na kupunguza xpenses biashara nyingi zaitaji third parties.Hata makampuni ya simu haziuzi vocha direct kwa walaji.Tanesco kutaka kucentralize ervthn ni kujitia kitanzi.
  14. U

    Changamoto za mfumo Mpya wa Manunuzi ya LUKU kwa Government Electronic Payment Gateways (Ge-PG)

    Wamesahau hata radar tulinunua kupitia middleman
  15. U

    Changamoto za mfumo Mpya wa Manunuzi ya LUKU kwa Government Electronic Payment Gateways (Ge-PG)

    Wazo zuri ila kumbuka tulio kwenye nyumba za kupanga tunahitaji risiti kuweka kumbukumbu zetu sawa,kuna makampuni pia yanaitaji risiti for rerirements......ofisi za Tanesco zipo chaache saana.
  16. U

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Wakala wa mtaa wetu amesitisha huduma...anasema hapati tena faida,from 2.5 to 0.5 profit, yaani akiuza umeme wa milioni anapata 500 hapo katumia rolls nzima ya 2000
Back
Top Bottom