Search results

  1. fukunyuku

    Naomba kujuzwa namna ya Kusoma SMS kwenye cycle bin ya Google

    Wanajamvini. Mwenye kujua jinsi ya ku retrieve sms ambazo umefuta either WhatsApp au za kawaida kwa kupitia Google account (Gmail) naomba anielekeze. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. fukunyuku

    Mjue Peter Mollel Gumbo aka Pierre Konki Mzee wa Liquid ambaye wengi hawafahamu vizuri

    Huyu n dalali wa sofa pale keko, yaan ukija anakukimbilia ila baada ya kupata umaarufu kaacha kazi ya udalali Sent using Jamii Forums mobile app
  3. fukunyuku

    Tabora mji wa washamba kubayaaa

    Upo isevya, ipuri, chemchem, ng’ambo au cheyo au nation? Au kiyungi maana nataka nikufuate nikupeleke viwanja [emoji13]
  4. fukunyuku

    Et kuna QT ya advance yan form 5 na6 kwa mwaka mmoja

    Ipo na unaweza soma bila shida, cha muhimu hakikisha umepata senta nzuri ya kusomea na kufanya test mara kwa mara kabla hujaingia kwenye nekta.
  5. fukunyuku

    Waliomsimamisha masomo Abdul Nondo kuburuzwa mahakamani

    Ipo chuo gan na inasemaje? Ukumbuke walimfukuza bila hatia
  6. fukunyuku

    MADARAJA YA GPA VYUO VIKUU

    Inaangaliwa overall GPA
  7. fukunyuku

    Baba yake Ben Saanane aiangukia serikali

    Sasa unafananisha familia ya Mona ya sa8? Umekula maharage ya wapi wewe?
  8. fukunyuku

    Biashara ya boda boda

    Kila biashara ina changamoto zake cha muhimu ni kutokua negative na kutokata tamaa. Kuliko usiwe na chochote kinachokuingizia hela hata sh 100 bora uwe na boda boda yako na ili uone faida Nunua boxer used Iliyotumika mwaka au mwaka na nusu, ukinunua mkononi kwa mtu ni tsh 1.2M then unatafuta...
  9. fukunyuku

    Waliomteka Mo Dewji walikuwa 'Well Organised, well informed , financially stable and highly committed'…

    Ingekua ni Marekani hapa katekwa Billgates cjui ingekuaje [emoji848]
  10. fukunyuku

    kuhusu confirmation code awamu ya pili

    Codes wanaweka walioomba chuo zaid ya kimoja, kama uliomba chuo 1 tu una comfirm hakuna code
  11. fukunyuku

    kwa walio chaguliwa wamu ya pili

    Sijakuelewa hebu fafanua vizur
  12. fukunyuku

    Tafadhali naomba kuelekezwa..

    Copy but iwe satisfied as a true copy
  13. fukunyuku

    Majina ya second selection

    Hellow members Majina ya second selection yanatangazwa lini?? Hivi ni TCU ndio wanachagua 1 kwa 1 au chuo wanapeleka tena TCU.
  14. fukunyuku

    NAUZA TECNO C9

    Nimeitumia miez 6 tu bado ni nzima kabisa. Nimepewa zawadi ya Simu ndio maana hii nauza. Bei 180,000/= Ukihitaji ni inbox tuongee
  15. fukunyuku

    NHC imemteua Ndg. Felix Manyama Maagi kuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo

    Umekosea, Jackson Maagi wa upanga bado yupo upanga kama Regional Manager, Felix Maagi alikua DF wa NHC since 2010
  16. fukunyuku

    Rose Muhando ajiunga rasmi CCM

    Kwan alikua chama gan?
  17. fukunyuku

    Tulionunua Hisa za Vodacom Tukutane Hapa

    Nenda uliponunulia share utakipata, pia nadhan. Hapo hapo unaweza kujua kuhusu hilo gawio
Back
Top Bottom