Search results

  1. princeamos

    Hizi nyimbo zina nibariki sana

    Kila ninapo sikiliza nyimbo hizi huwa nabarikiwa sana kwani zimejaa Upako wa kweli ni nyimbo zilizo tulia hazina vikorombezo vyaku mtoa mtu kwenye uwepo kama tunavyoona miziki mingine mingi ya injili ambayo ni yaku burudisha tu. nimekua nikisikiliza nyimbo nyingi lakini hizi zinagusa na kubariki...
  2. princeamos

    PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa

    Kaka weka hizo video za youtube acha kuogopa chochote kua jarisi baba
  3. princeamos

    Mwanadamu na matumizi ya uwezo wake!!!!

    Mwanadamu inje ya Mungu hawezi kutumia uwezo wake kama Mungu alivyokusudia. Uwezo pekee wakumfanya mwanadamu atumie kile alichopewa unapatikana kwa YESU TU
  4. princeamos

    Mrijuana and Illuminati - The Marijuana Conspiracy

    What i came to realized is that even our Leaders are using Hemp. Doctors,Mps.Presidents, and so forth. but they dont want us to use it. that is stupidness. I am very angry with them.I am using hemp for good reason and it helps me.
  5. princeamos

    PICHA: Dr. Slaa atoa pole kwa familia ya marehemu Mwangosi

    Tufanye juu chini ccm wasirudi tena madarakani
  6. princeamos

    Duh! Hili dude ni noma

  7. princeamos

    LIVE : Channel Ten - Mauaji ya Daud Mwangosi

    TAARIFA YA JUKWAA LA WAHARIRI (TEF) KWA VYOBO VYA HABARI KUHUSU KUUAWA KWA MWANDISHI DAUDI MWANGOSI UTANGULIZI: 1. Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), limepokea kwa masikitiko makubwa kifo cha mwandishi wa habari wa Kituo cha Televisheni cha Channel Ten, mkoani Iringa, Daudi...
  8. princeamos

    Polisi Waunda Tume ya kuchunguza kifo cha Daudi Mwangosi

    Hua ni unafiki hakuna cha uchunguzi hapo. Wanapoteza muda tu polisi wabongo ni wazushi. Wanatia fedheha.
  9. princeamos

    TANZIA Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa katika vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

    huo ni unyama ushenzi na ukatili unaofanywa na Jeshi la polisi tz. na kikwete atamyamaza kimya kama hayuko vile:eek2:
  10. princeamos

    Edward Lowassa: Bora kuwa na Rais kama Kagame ili tuendelee

    UPUUZI UPUUZI UPUUZI hivi leo ndotunaona chadema wanafaa? kwanini basi hatukuwachagua? badala yake tukawarudisha mafisadi madarakani. mnajidai kuisifia chadema mkifika kwenye masanduku yakupigia kura mnaichagua CCM huo ni unafki na uzandiki. shame on you all
  11. princeamos

    Mudavadi ni project ya kibaki

    Habazi za kuaminika nilizo zipata nikwamba Musalia mudavad amekula mahela mengi ili awachanganye wakenya huyo jamaa anatumia na KIBAKI,UHURU,RUTO,lengo haswa nikuhakikisha kwamba Raila haingii ikulu.
  12. princeamos

    Mrijuana and Illuminati - The Marijuana Conspiracy

    Nilianza kugundua ubora wa ganja mda mrefu sana. lakini tatizo ni vijana wengi wanaitumia kwa matumizi mabaya lakini mimi ni Mtumishi wa Mungu "Pastor" sijaona ubaya wowote wa hiyo ganja ikiwa kama itatumia kwa namna Mungu aliyokusudia. nawaomba vijana Muache kuvuta ovyo kwani matumizi mabaya...
  13. princeamos

    Bob Marley aliamini Mungu kweli?

    Kusoma bibilia sio tatizo kaka kwani shetani husoma tena huamini na kutetemeka. wokovu wa mwanadamu haupatikani kwa matendo mema. bali ni kwakumwamini Yesu nakuishi maisha ya wokovu. kupitia nguvu za Yesu mtu huzaliwa upya na kupewa uwezo unaomwezesha kuzishika Amri za Mungu mtu huwezeshwa...
  14. princeamos

    Bob Marley aliamini Mungu kweli?

    Naomba unipe andiko linalo onyesha utabiri wa haile selase nimewahi kuangalia mkanda wa Bob unaoitwa THE TIME WILL TELL. Kunasehemu bob anasema kwamba haile ni BWANA WA MABWANA NA MFALME WA WAFALME. Jina hilo linamstahili Yesu tu ambae ni mwana wa Mungu Yesu ni Mungu halisi alie fanyika mtu...
  15. princeamos

    Vitambulisho vya uraia

    Jamani ndugu zangu mimi ni mtanzania ninaeishi nnje ya nchi ningependa mnisaidie je vitambulisho vya uraia vimeshaanza kutolewa. na je sisi tulio nnje ya bongo tutavipataje?
  16. princeamos

    Bob Marley aliamini Mungu kweli?

    Ndiyo raisi wa zamani wa ethopia HAILE SELASIE
  17. princeamos

    Katika pekua pekua yangu kwenye youtube nimekutana na ngoma hii hapa

    Jamani nimebarikiwa sana na huu wimbo. video ni simple sana haina vikorombezo vya kidunia wala haina madansa lakini inaupako wa Ajabu
  18. princeamos

    Bob Marley aliamini Mungu kweli?

    Huyu jamaa hakumuamini Mungu JEHOVAH Alimwamini yule rais wazamani wa ethopia kama mungu wake hiyo muziki wake ni ibada inayoelekezwa kwa haile selasi zamani nilikua shabiki mkubwa sana wa bob lakini nilipo mpokea Yesu nikagundua kwamba bob alikua ni muabudu miungu
  19. princeamos

    Waliotandikwa viboko Ikulu hawa hapa

    Mi naona hata viongozi wa sasa wanao vurunda wachapwe viboko sana ili wengine wasirudie makosa amasivyo
Back
Top Bottom