Search results

  1. UBOHO

    Men only.

    Mkuu nadhani hujanielewa. Issue sio kukojoa isu ni kushindwa kudumu na msichana jamani. Nifanyeje nisimchoke?
  2. UBOHO

    Men only.

    Sijawahi!
  3. UBOHO

    Men only.

    Asante mwanaume mwenzangu kwa kumuelimisha Speaker.
  4. UBOHO

    Men only.

    Afadhali yangu nimesema tatizo langu nipate ushauri ili nibadilike, I hope hayo kwenye bold ni reaction ya ID yangu. Pole inaelekea nimekuchafua jioni hii
  5. UBOHO

    Men only.

    Dah, kumbe mie nina afadhali bana, masaa tu! We ni balaaaaaaaaaaaaaaaaa
  6. UBOHO

    Men only.

    Sa ujinga na udogo uko wapi hapo? Dah, basi Mkuu samahani inaelekea ID yangu iekukwaza sana. Ntafanya mpango niibadilishe
  7. UBOHO

    Men only.

    Jamani kiungo cha manaume sio UBOHO, hakuna H! Unatamka zile OO mbili mwisho!Hee! Mbona ivyo. Usipoanza na U ukaanza na M katika kutaka icho kiungo cha mwanaume inakuwaje hapo?Michael naomba jibu basi.
  8. UBOHO

    Men only.

    Mh, kweli kua uyaone. Speaker kiswahili kinakushinda? Sijawahi ona, ivi humu MMU ina maana wewe tu ndo hujui maana ya uboho au umeamua tu kuanzisha mabishano? Kama vipi tuanzishe jukwaa la lugha ua kiswahili humu ili tuelimishane mana mashuleni hatukuipata ipasavyo.
  9. UBOHO

    Men only.

    Mkuu inaelekea unapenda sana iyo kitu kama mimi ee!Mbona umekazana sana na Kumar? Sijaona ubaya na ID yangu, hata shule nilifundishwa kuhusu UBOHO. Je, na SHAHAMU nalo ni tusi?Mana kama uboho unaona si neno jema basi na shahamu utasema ni tusi. Loh, ivi jamani mnanipa ushauri au! Mana...
  10. UBOHO

    Men only.

    KWA KIZUNGU UBOHO NI BONE MARROW, Speaker (Mama naniliuu u got that)
  11. UBOHO

    Men only.

    Dah, kweli inabidi nijicontrol!
  12. UBOHO

    Men only.

    Bwa ' Nchuchu pole kwa kusingiziwa jamani, lol!Mbona me ndo nimeingia leo?Nishaurini mwana wa mwenzenu jamani
  13. UBOHO

    Men only.

    Kwa kufanya ivyo wewe utakuwa mbwiga kabisa!Toka lini uboho ukauma?Uboho kwani unaonekana?Mbona nyie watu mnaongozwa na viungo vya uzazi? Yani kila usikiacho unakilinganisha na kiungo cha uzazi. Mmeacha kunishauri mmeanza kushambulia ID yangu. Mi ni mgeni jamani leo ndo siku yangu ya kwanza...
  14. UBOHO

    Men only.

    Scofield we ni mTZ au ndo we ndo yule wa ukweli wa Prison Break?Kama we ndo boyfriend wa Sarah basi sikulaumu Ila jifunzeni kuziua lugha zanu. Kama ID hii ni tusi basi tusubiri ifunhiwe
  15. UBOHO

    Men only.

    Tatizo lake jamaa anapenda mizaha mizaha sana. Alosema uboho tusi ni nani?Kama hujui UBOHO SI TUSI, KWA KIZUNGU NO BONE MARROW (hope umeelewa mana nyie lugha zenu mnaonaga matusi) lol
  16. UBOHO

    Men only.

    Kwani UBOHO ni nini Naima?Sidhani kama my name yangu ina direct relatinship na tatizo langu, au nakosea mrembo
  17. UBOHO

    Men only.

    Habari zenu wanaume wenzangu. Mwenzenu nina tatizo jamani, siwezi kuwa kwenye uhusiano na msichana kwa muda mrefu. Tatizo ni kuwa huwa nawachoka sana wasichana ninaokuwa nao. Sio kwamba ni wabaya au hawaniridhishi, no!Ila nakuwa bored sana nikishakuwa na msichana for months yani sitamani...
  18. UBOHO

    natafuta rafiki wa kiume

    Kwi kwi kwi!Subiri uone kama atakuwepo wa kuku PM! Afu we ninahakika ni Mch**** mana mhh! Me ninavigezo vyote ila nakulaga tigo, are you read for it?
  19. UBOHO

    Mbona uyu jamaa kamganda uyu dada ingawa upendo umeisha

    Nyie ndo wambea sasa!Mambo ya wanandoa we yanakuhusu nini? Ulijuaje juaje kuwa Irene haonesho upendo kwa jamaa yake? Mbona wewe yako hayasemi? Kama vipi lete hoja zaa msingi na uachane na mambo ya watu
  20. UBOHO

    Nauza Laptop

    Model yake
Back
Top Bottom