Search results

  1. Owen chimela

    Mabraza wa Kariakoo na dili zao

    Bro umepitia mengi aiseee
  2. Owen chimela

    Mabraza wa Kariakoo na dili zao

    Bro I appreciate this kaka unatoa funzo kubwa sana kwa sisi wadogo zako..Mimi nimetoka Duce graduate wa 2016 lakini kutokana na tatizo la ajira nilikua kusaidiwa na braza mla ngada na vilevi vyote mpaka sasa Nina familia na watoto wawili..Ukikaa na baharia yeyote wanajua sana kutoa ramani za maisha
  3. Owen chimela

    Mabraza wa Kariakoo na dili zao

    Pamoja kaka mkubwa
  4. Owen chimela

    Mabraza wa Kariakoo na dili zao

    Bro Nelson arosto imekua kali shusha vitu kaka
  5. Owen chimela

    Mabraza wa Kariakoo na dili zao

    Bonge la simulizi aisee
  6. Owen chimela

    Mabraza wa enzi hizo Dar kumbukumbu zangu

    Thanks for big memories nasoma uzi kama naangalia movie
  7. Owen chimela

    Tujikumbushe vitu na bidhaa mbalimbali za zamani ambazo kwasasa hazipo tena

    Kuna sabuni mshindi sabuni komoa mafuta ya rays na bodyline mifuko yenye picha ya Rambo....
  8. Owen chimela

    Mbeya: Mahakama Kuu yatoa baraka Uwekezaji wa DP WORLD Dubai Bandarini. Walalamikaji wajipanga kukata Rufaa ya Hukumu

    Sheria ambazo zinatakiwa kutafsiriwa na mahakama zinatungwa na bunge ambalo halitakiwi kuingiliwa na mahakama....
  9. Owen chimela

    Haya maisha sio poa kwakweli

    Miaka 24 bado dogo sana kukata tamaa hasa ukiwa mwanaume
  10. Owen chimela

    Mzamiru apewe sifa zake

    Georginio wijnaldum wa kisasa huyu
  11. Owen chimela

    Aliyeolewa akaachika miaka 7 sasa imepita ila hakupewa talaka, Anataka nimuoe. Je, naweza kumuoa?

    Kiutaratibu huyo bado ni mke wa mtu....Subiri apewe taraka ndio mfuate hizo taratibu zenu
  12. Owen chimela

    Mke wangu ananipa tendo kwa masimango

    Tunaruka nae hivo hivo😀😀
  13. Owen chimela

    Mke wangu ananipa tendo kwa masimango

    😀😀😀huyo ni msubufu sana hangekuwa wakwagu nigemurundisha kwaho
Back
Top Bottom