Search results

  1. mbota

    Tuwe makini tunapoenda kupima malaria

    Wakuu kwema, Siku tatu zilizopita mwili wangu ulikuwa umechoka sana Basi nikaamua kwenda kupima ila nilipoenda majibu yakasema sina malaria, ila jana hali iliendelea kuwa tete nikaendelea kubanwa na kifua ambapo uchovu ulinizidi na masikio kuto kusikia vizuri, nilipoona kwenye ishu ya kutosikia...
  2. mbota

    Now mil 50 UTT, napambana ifike mil 65 mwaka huu

    Kwema mkuu ulitumia 𝑼𝒕𝒕 mfuko gani na je ili upate mkopo benk ulitumia nini kutoka utt
  3. mbota

    Masikini Lowassa, nilihisi haya yatamkuta, yamemkuta

    Ila usihukumu mkuu hakuna mtu au binadamu ambaye hataonja mauti wewe mwenyewe au mimi hivyo tusiwe wepesi kuhukumu mkuu
  4. mbota

    Naomba ushauri juu ya hii biashara ya kuagiza bidhaa mchanganyiko kutoka Japan

    Hapa ndio nimekuelewa mkuu kwanini China ataendelea kutawala soko la Bongo
  5. mbota

    Naomba ushauri juu ya hii biashara ya kuagiza bidhaa mchanganyiko kutoka Japan

    Nafikiria kufanya biashara ya spear original haswa magari madogo ya Japan
  6. mbota

    Natafuta Usafiri wa kusafirisha Mifugo kutoka Karagwe kwenda Dar

    Ushauri mzuri huu!! Vipi Ngombe wenye asılı ya maziwa huko tsh ngapi mtamba
  7. mbota

    Mkurugenzi Mkuu NHIF ni kati ya wanaomponza Ummy Mwalimu

    Hoja gani tena kwanini muondoe bima za watoto au nhif kazi yake ni nin zaidi ya kuwahudumia waTZ acheni propaganda NHIF kwasasa inatumika kisiasa hamna weledi wowote
  8. mbota

    Nichague IPI kati ya Toyota Rav 4 kilitime na premio new model

    Mkuu kwema kati ya 2010 na 2013 ipi unashauri kWa watu tunaoingia interior njia za punda
  9. mbota

    Mkurugenzi Mkuu NHIF ni kati ya wanaomponza Ummy Mwalimu

    Katika wizara mbovu ni afya kwasasa
  10. mbota

    Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    Ila tuache tu ninatumia Hugo Boss mixer One million ni noma sana
  11. mbota

    JamiiForums Usiku wa manane

    Happy new year [emoji312]
  12. mbota

    Saa 6:00 ya leo hii 1/1/2024 imekukuta ukiwa wapi na unafanya nini?

    Nipo kanisani hapa ni mashangilio ya kumshukuru Adonai kwa kutufikisha mwaka 2024
  13. mbota

    Hatimaye nimekuwa Luteni Usu leo

    Hongera master
  14. mbota

    𝗪𝗵𝗮𝘁𝘀𝗮𝗽𝗽 𝘄𝗮𝗺𝗲𝗹𝗲𝘁𝗮 𝗻𝗷𝗶𝗮 𝗿𝗮𝗵𝗶𝘀𝗶 𝘆𝗮 𝗸𝘂 𝗹𝗼𝗴𝗶𝗻

    Mbona mimi toka 2021 natumia face ID kuingia kwenye social network karibia zote kwa Iphone 12
Back
Top Bottom