Search results

  1. Precious Clinic

    TUSEMEZANE: Je ni kitu gani ndani ya maisha yako umekipa Kipaumbele zaidi ya afya yako?

    Tulipofikia leo watanzania,ni lazima tukumbushwe hata ula. Gambachovu,hatutangazi kwa kutaka biashara,hapana,tunafanya hivi kama awereness,angalau watu wachukue hatua tupunguze hali iliyopo leo ya watu kuwa na magonjwa sugu yasiyokuwa na majina. Chukua hatua na jitengenezee utaratibu wa kupima...
  2. Precious Clinic

    TUSEMEZANE: Je ni kitu gani ndani ya maisha yako umekipa Kipaumbele zaidi ya afya yako?

    WARREN, ukitunza afya yako vizuri,hutapata shida.Shida itakuja pale utakapokuwa na fikira kama ulizoandika hapa,hutajali kuchukua hatua ya kufanya uchunguzi wa kawaida wa afya kwa sababu kama ulizozieleza. mwisho wa siku utapelekwa ukiwa au utaitafuta hospitali yoyote katika hali ambayo si...
  3. Precious Clinic

    TUSEMEZANE: Je ni kitu gani ndani ya maisha yako umekipa Kipaumbele zaidi ya afya yako?

    Inawezekana ukawa sahii kwasababu moja au nyingine.Lakini niseme tu ndivyo inavyosikika kwa walio wengi. tabia hii imewafanya watu wengi kudharau kupima afya zao.Naomba tusizungumze kwa hisia,tulipofika leo, kila Mtanzania anapaswa kujali afya yake kwa uthamani sana. Inawezekana leo unajibu...
  4. Precious Clinic

    TUSEMEZANE: Je ni kitu gani ndani ya maisha yako umekipa Kipaumbele zaidi ya afya yako?

    Nimewaandikia watu wote wapate kusoma.Watanzania wengi leo afya is even not a secondary issue, wamekuwa ni watu ambao Wanazoea maradhi na kuwayachukulia maumivu mbalimbali ya mwili kama mambo marahisi na mepesi. mwisho wa siku mtu anagutuka akiwa na afya mbaya sana, au tatizo limekuwa sugu...
  5. Precious Clinic

    TUSEMEZANE: Je ni kitu gani ndani ya maisha yako umekipa Kipaumbele zaidi ya afya yako?

    We understand that health should be the number one priority to everybody and we are taking this matter very serious. Western medicines have provided a significant revolution in the medical world but due to their higher content of harmful chemicals, they therefore bring about side effects to...
Back
Top Bottom