Search results

  1. S

    Ninahitaji harrier second generation nibadilishane na rava 4 kili time

    Wakuu habari za jioni? Mimi nina rava 4 kili time rangi ya silver number DLN 1zz ingene cc 1794 mpya kabisa nataka kubadilishana na mwenye harrier new model(second generation)kunzia mwaka2003 hadi 2009 no D na kuendelea hata ikiwa show room iwe cc 2400 rangi nyeusi au silver au dark blue. Mwenye...
  2. S

    Hp Probook 4540s inauzwa

    H
  3. S

    Je unajua tofauti ya neno CHRISTMAS na X-MASS ?

    Je, wajua tofauti ya kati ya neno {CHRISTMAS} na neno {X-MASS }? Kama hujui soma hapa: 👇👇👇👇👇👇👇👇 CHRISTMAS ni MUUNGANO wa maneno mawili yaani CHRIST & MAS. Hapo zamani, siku ya Tarehe 25 December, ilikua siku ya Kusherehekea...
  4. S

    msaada wa kucrack m/s office 2013

    habarini za jioni wakuu!ninaomba msaada anaeweza nijuza jinsi ya ku crack m/s office 2013 maana nili download bila ya kuiactivate na mda wake wa majaribio umeisha so inanisumbua na nitshukuru sana kama mtanimwagia maujanja wakuu
  5. S

    Samsung galaxy tab 7.1 inauzwa

    nipo dar na nimeitumia miezi mnne tu toka niinunue na internal memory ni 16gb na iko kwenye kava lake bei yake ni 750000 no yangu ni 0716189941 na 0686750786
Back
Top Bottom